10- BZ au 3-Quinuclidinyl benzilate
Hii ni silaha ya kikemikali iliyogunduliwa na Wanasayansi wa Kimarekani miaka ya 1960. Sumu hii inakumbukwa kwa kuwaangamiza mamia ya Wapiganaji wa jeshi la...
Ni mara ya kwanza kuandika katika sehemu hii kama sijakosea. Kuna mambo mengi ambayo huwa nayasoma kupitia uwanja huu ambayo yanafikirisha kwelikweli. Nine wahi kusoma wengi wakielezea kuhusu...
Habarini wakuu.
Fiji ni nchi iliyopo katika bahari ya Pacific karibu sana na nchi ya Australia.
Jamii ya wenyeji wa Fiji kimuonekano wanafanana na waafrika ila kuna tofauti kidogo kutokana na...
Watu wamekuwa wakijiuliza mara kadhaa huyu babu krismasi jina lingine Santa Claus ni mtu aliyekuwepo au ni hadithi za kufikirika tu kumuhusu?
Ni kweli Baba Krismasi(father christmas)...
February 28, 1959 Meli ya Ms Berlin toka Ujerumani ilitia Nanga katika Pwani ya Havanna Cuba, ndani yake alikuwemo Binti Kigori wa miaka 20 Marita Lorenz ambaye Nahodha wa Meli hii alikuwa ni Baba...
Habari za Leo wanaJF,
Kwanza kabisa naomba kudeclare interest "Mimi n mroman catholic"
Katika pita pita zangu nmekutana na habar za huyu CESARE BORGIA wengi wakisema kua alikuwa mtoto wa papa...
Duniani especially Tanzania ujue kunafulsa nyingi sana jamani tufanyeni
hata kazia ya kuandika vitu vyetu watanzania kwenye mitandao, tusisubiri
tufanyiwe na wazungu et hata ukigugo "jinsi ya...
Scientists are still not sure why we have pubic hair, but it likely serves a purpose beyond decorating our genitals.
1) Pubic Hair May Signal Sexual Maturity: [/I]Perhaps in both apes and humans...
A case study on the impact of trade misinvoicing in Ghana, Kenya, Mozambique, Tanzania, and Uganda—titled “Hiding in Plain Sight: Trade Misinvoicing and the Impact of Revenue Loss in Ghana, Kenya...
JAMANI KWANINI INAKUWA HIVI KILA SIKU TAREHE 26
Why always on " 26 th " ?
Take a look at this list :
1 Gujarat, India, earthquake 26 Jan 2001
2 The Rhodes earthquake 26 June 1926
3 Taiwan...
Katika maandiko matakatifu tunasoma kwamba Joshua alilisimamisha jua, sawa, utata unakuja ninaposoma ktk vitabu vya sayansi kuwa dunia hulizunguka jua sasa najiuliza sipati majibu kuwa wakati...
Naamini JF ni home of great thinkers,unakopatikana uchambuzi na ufafanuzi wa hoja kwa kutumia mifano hivyo naona niilete hoja hii iweze kuchambuliwa.
Wote tunakubaliana ,kwamba kipindi cha miaka...
Konstantino Mkuu
Konstantino Mkuu (jina kamili: Flavius Valerius Constantinus; Niš, 27 Februari 272 – İzmit, 22 Mei 337) alikuwa Kaisari wa Dola la Roma tangu mwaka 306 akitawala peke yake tangu...
Machiavellianism
Ni haiba ya watu ambao wanapitia migongo ya watu kufanikisha malengo yao. Ni watu ambao watafanya kila wawezalo ili kuwashinda wenzao au kuwatumia wenzao kufanikisha mambo yao...
UDINI NA UGAIDI
÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷÷
Wakati vyombo vikubwa vya habari vikisongwa na habari za vita, hususani maeneo ya mashariki ya kati ambako vitendo vya kigaidi vimetamalaki, watu wengi huzipokea...
Osss!!!
Hebu leo tuangalie aina ya mapigano ambayo hutumika katika Majeshi tofauti tofauti (Military martial arts)
1/Tuanzie nyumbani (JWTZ)
Hawa hutumia aina ya mapigano yajulikanayo kama...
Novichok: Mambo muhimu kuhusu sumu kali ya Urusi iliyotumiwa kumshambulia jasusi
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May Jumatatu alisema jasusi wa zamani wa Urusi na binti yake walipewa sumu kali...
Wakuu,
Habari zenu?
Katika zama na nyakati tofauti tofauti katika maeneo mbalimbali duniani kumekuwepo na mijadala inayohusisha imani na dini na mara nyingi vitu hivi viwili watu wengi...
Here is an Intriguing story of the suspected reason for which Pope John Paul I was Murdered, only 33 Days in his Pontificate in Sep 1978.
The Story Unequvically narrate his involvement in the...
Chombo cha anga za juu cha China Tiangong-1 kilirushwa kwenda kwenye anga za juu septemba 29,2011 kikiwa kinaendeshwa na guvu za jua Kikiwa angani kina uzito wa Tani 8.5(8,506 kg) na urefu wa...