Kumekuwepo na taarifa zisizokuwa rasimi watu wakithubutu hata kusema milipuko yote iliyotekea katika makmbi hayo ni hujuma je wewe na mimi waweza kuhisi ni hujuma au ni bahati mbaya?
Maana kwa...
Karibu kwenye jukwaa! Karibu wana JF na wanaGT.
Nitambue mchango mkubwa wa Bw. Mello kama sikosei katika jukwaa hili.
Leo nitaomba kwa pamoja tudiscuss suala la kuacha alama!
Somo ni pana sana...
Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro.
Mengi...
Huu ndio ukweli ambao Roman imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima
And the LORD said to Moses, "Make a fiery serpent, and set it on a pole; and every one who is bitten...
Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?
Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20...
Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno...
Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni.
Sasa kama ilivyo kwa manabii...
Na Jeremy Howell
BBC
Timu ya wanasayansi wa Italia walisema waliweza kwa usahihi kuitambua tarehe ya Sanda ya Turin, na kwamba inaonyesha kuwa ilikuwa ni ya wakati wa Kristo.
Utafiti huu...
Nitajitahidi kutumia maneno machache.. japo mada hii kueleweka vizuri inahitaji maelezo mengi sana.
Nianze na haya kwanza,
1. Elimu
Ukiwa na miaka kama sita hivi unaanza shule.
Kujifunza kusoma...
Za leo ndugu zangu wana JF:
Leo ninapenda niongelee kitu ambacho nimekuwa nakifuatilia kwa muda mrefu. Imenibidi nikusanye researches zangu zote niweze kuziweka hapa.
TAMADUNI ZA MTU MWEUSI...
Niwasalimu ndugu zangu hapa!!
Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo.
DHANA YA MATESO:
Kila...
Ukristo na Uyahudi ni vitu viwili tofauti, ingawa zina uhusiano wa kihistoria na kidini. Hizi hapa ni tofauti kuu kati ya dini hizi mbili:
1. Imani katika Yesu: Tofauti muhimu zaidi kati ya...
Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer.
Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer...
Bible verses about astral projection
The occult practice of astral projection or an out of body experience is of the devil and it is clearly forbidden in Scripture. I am surprised at the number of...
Kama bado unajitafuta kimaisha, hakikisha unaishi kwenye haya mambo matano (5);- SHAUKU, UDADISI, UKALI, KUBADILIKA, & USIRI.
1. SHAUKU
Kama unajitafuta ni vyema kuwa na shauku kubwa ya kufika...
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio...
Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako.
Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake?
Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s
0743781910
Kamwe...
Greetings.....
The diagram you see reveals the history of a powerful Death Cult that has ruled over Earth for all recorded human history. The timeline is trisected and proceeds from top to...
Kumekuwa na mijadala mingi na mawazo mengi yenye kukinzana katika Tanzania kuhusiana na mafundisho ya Kanisa la Waadventista Wasabato. Hivyo niliamua kuchunguza misingi ya imani ya Kanisa hili ili...
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless...