Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Wakuu salam, Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nikiwa na rais wa Korea Kaskazini na katika ndoto hiyo rais huyo ni rafiki yangu mkubwa sana, nimekuwa nikiota ndoto nikiwa na marais wa mataifa...
1 Reactions
14 Replies
10K Views
Hakuna hewa, maji, mwanga, giza na kitu cha aina yoyote ile je, unafikiri pangekuwaje? Hali hii ya kutokuwepo chochote unadhani inawezekana? Kama inawezekana, je inawezekanaje? Wadau majibu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ? HEADLINE...
0 Reactions
2K Replies
270K Views
Duniani kote hakuna biashara yenye faida kubwa kama hii, hakuna biashara yoyote ulimwenguni unayoweza kuifananisha nayo si ya mafuta wala almasi wala silaha za kivita na hakuna biashara nyepesi...
2 Reactions
18 Replies
16K Views
Habari wadau... Ningependa kumjua huyu Artem Vaulin kaanzia wapi mpaka leo kuja kukamatwa kwa maswala ya uhalifu wa kimtandao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lakini nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi. Jambo lenyewe ni; Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za uzima wakuu! Watu wengi wamekuwa namaswali kuwa time travel haiwezkani. Kwa nini Hii ni kutokana na kanuni za Newton za Mwendokasi. kuwa haiwezkani kwa kuwa ili kuurudisha muda nyuma...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
UTAJIRI TUNACHEZEA TUNAWAPA WAZUNGU LAKINI HILI NI TOFAUTI KIDOGO Tanzanian Royalty Reports New High Grade Gold Discovery in Tulawaka Area Tanzanian Royalty Exploration (the Company) is pleased...
1 Reactions
526 Replies
82K Views
Look! Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha. Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa...
6 Reactions
127 Replies
10K Views
Habari zenu waungwana, Naomba mchango wa mawazo yenu kwanza mnisaidie kujua 1.UKWELI ni nn? 2.Tunajuaje kwamba hili jambo ni kweli kbsa? 3.Je tuna uhakika gani kinachozungumzwa ni kweli na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa siku mbili zilizopita Mwezi umeonekana ukiwa umegubikwa na msalaba kwa ambao huenda mmeangalia.........tena msalaba ukiwa umekoza zaidi nimegoogle nikaona tu mjadala wa suala kama hili ingawa...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako. Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Intelligence agencies thrive on impressing politicians and the public with their mystique, exploits real or imagined, and possession of information that supposedly gives them a unique...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanandugu, Je, duniani kuna utaratibu wowote unaoweza kukufanya ukapata Ph.D bila kulazimika kupitia kwanza Masters? Kama inawezekana, ni institutions zipi zinao utaratibu huo?
0 Reactions
61 Replies
14K Views
Shy women usually practice the gesture of leg twine. The gesture involves locking one foot on top of the other under the knee. Usually, women wearing short dresses implement this gesture as a sign...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini ndugu wana jamii forum, mimi si mwenyeji sana na pengine ni mara yangu ya kwanza kupost kwenye jukwaa hili: Kwa kuanza: kuna dhana ya watu wengi hivi sasa kuishi kwa kutegemea miujiza...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
HAKUNA MUNGU??? ZIJUE NCHI ZENYE WAPAGANI WENGI DUNIANI............... Nimekutwa na tukio la kupotezana na rafiki yangu Mholanzi baada ya kumuuliza DINI yake alikasirika sana.......na nimegundua...
1 Reactions
62 Replies
12K Views
Ghost/ Vanishing hitchhiker ni Urban Legend ambayo ni maarufu sana ulaya na marekani ni story ambayo inamhusisha mwanaume mmoja ambaye alikuwa anaendesha gari lake mida ya usiku mrefu katika...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Wakuu poleni na shughuli na mihangaiko za hapa na pale, Wakuu naombeni msaada wetu wa kitaalam kidogo mimi kidogo hapa nashwindwa.Ni hivi; Nikichukua ile mota inayofua umeme kwenye zile wire za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
habari zenu wana jf..? Hizi ni fikra zangu juu ya karne zijazo ktk dunia yetu. SEHEMU MPYA YA MAKAZI YA WATU kutokana na ongezeko kubwa la watu duniani huenda baadae watu wataanzisha makazi ktk...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…