Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Nimekuwa nikisikia kuwa kuna joka lenye vichwa saba linapatikana duniani.Kuna bwana mmoja aliniambia joka hili huuwa linapita chini ya miamba ya milima kwa mwaka mara moja hata hapa Tanzania chini...
2 Reactions
94 Replies
32K Views
siku ya 6 August 2011 ni siku ambayo helikopta ya kijeshi ya marekani iliyobeba askari wa jeshi la marekani wakiwemo SEAL TEAM SIX ilitunguliwa huko Afghanistani,kwa ujumla ndani ya helikopta...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi ule ukaguzi kwenye malls kama Mlimani City na Quality Center ilikuwa nguvu za soda au???
0 Reactions
0 Replies
977 Views
  • Closed
Wakuu nimejikuta nikijiuliza maswali kadha wa kadha kuhusiana na hiki chombo kinachoitwa usalama wa taifa. 1. Je chombo hiki kina bajeti? 2. Bajeti hiyo huwa inajadiliwa bungeni na...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Madaktari nchini Kenya wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya virusi vya HIV. Dawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Please have time to watch this and think by yourself. are you one of the victim? NTV Investigates: Seeds of Sin - YouTube regards, Mahwelu
0 Reactions
0 Replies
903 Views
jamani me nimekwama!nijuzeni imekaaje hii ya kusafisha dollar negative! 1. jina ya dawa au matilio yanayo tumika kusafisha. 2. je hii biashara ipo kweli au magumashi 3. kama unafahamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
[QUOTEWhen it comes to the military strength of all African countries, the keywords to consider are “not enough information.”The Global Fire Power ranking, or GFP, measures countries’ military...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
2nd Nov 2013 Vol 54 N0 16 TANZANIA | NORTH KOREAThe Dar leader Washington and Seoul are discreetly putting pressure on Tanzanian President Jakaya Kikwete to end military cooperation with...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nimeikuta hii sehemu, hakika Jeshi la wananchi haliwezi kukwepa kadhia hii ya kuajiri tapeli ambaye watu wanahaingaka kumtafuta na wapo kimya. Jisomeeni wenywewe; Ni kijana mzaliwa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
napenda kujua kwanini binadamu tuna akili na mitazamo tofauti na kwanini tumeumbwa na tuna uwezo wa kufikiri tofauti tofauti kwa nini mungu aliamua kututenga kwa lugha? Kama wote tumeumbwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Nilidhani baada ya Miaka takribani 41 since makosa yaliyofanyika baada ya matokeo ya Ugaidi kule Munich 1972 kwenye Winter Olympic Games Kenya watakua wamejifunza namna ya kukabiliana na ugaidi...
34 Reactions
65 Replies
9K Views
Hivi sisi wa ovyo ovyo? Ninatamani ije siku sisi watanzania tuwe na uwezo wa kujitawala vizuri bila kuwa 'ovyo ovyo'. Ebu fikiri jamii ambayo kwa pamoja itaamua kupambana na uovu unaoiandama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nov 17, 2013 Al Shabaab militants have banned residents from using smartphones in Lower Shabelle, a region south of Somalia's capital Mogadishu. Residents who declined to be named for security...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Social Stratification. -Imezoeleka kwamba wananchi wa Dar es salaam wanaowekwa katika daraja la kati ni wale wenye asili ya ki-Asia wengi wao waishio Upanga, mnazi mmoja na maeneo mengine ya...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…