Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja.
Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa.
Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake...
Kabla ya mwili na nafsi ya Mwanadamu kuumbwa kwanza iliumbwa roho ya mtu.
Mwanadamu ni kiumbe cha kiroho chenye mwili. Mwanadamu anaishi ulimwengu wa roho (Spiritual realm) na ulimwengu wa mwili...
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani...
Haya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la...
Wakuu amani kwenu,
With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti...
Ufisadi mwingine unajulikana wazi lakini kwa kuwa umewatajirisha wanene, wengi wao, mpaka wakubwa wa polisi wanapokea mishahara kutoka kwa haka katajiri fisadi. Haka katajiri kanafumbiwa macho na...
Greetings....
Does it feel that many people do not appear to be maturing on spiritually that they are in a state of disease and in a lower vibrational state?
Emotions and feelings can be...
BANYAMRENGE, WALOWEZI WA KITUTSI NCHINI KONGO DRC AMBAO WANADAI ARIDHI ILI WAANZISHE TAIFA LAO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Wednesday-30/06/2021
Kilimanjaro national park Kilimanjaro...
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na...
Majini ni mithali na hadithi zinazopatikana katika tamaduni mbalimbali duniani. Wengi wa watu hupenda kusikiliza na kusimulia hadithi za majini, ambazo mara nyingi zinahusishwa na viumbe wa ajabu...
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki...
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani:
- Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah):
"Hakuna...
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani...
What a fantastic question!
I won’t (and can’t) get into as much detail as I’d like, but I will tell the basics. Everything in the universe is a form of energy. Energy of some kind, and vibrates...
Chimbuko/historia ya tahajudi:
Neno tahajudi limetokana na neno la kiingereza linaloitwa 'meditation' likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo...
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection.
Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho.
Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama.
Utokaji...
Tamaa ya kiongozi imebeba maangamizi yake na familia yake na anaowaongoza,ndio maana kumuombea kiongozi ni lazima.Hata nafasi ya cheo ni vyema kuitambua ni mojawapo ya jaribu.
Angalia Daudi...
Habari Wanabodi,
Nakuja Tena na mada inayozungumzia kila kitu kuhusu Aura(Nguvu Ya Kwanza Kabisa Rahisi Ya Kufanywa Na Kila Mtu Kirahisi)
Aura Ni Nini!?
Wengi wamekua wakiskia tu kuhusu...
Wanabodi, weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!
Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wana usalama/TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa!
Yaani kila mmoja ana...
Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!!
Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi.
Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu...