Wakuu nimekuwa nikisikiliza redio nyingi ambazo siyo maarufu nchini hasa vipindi vya michezo na nilichogundua ni kuwa hawa wachambuzi wa soka wa hivi viredio wanachukua Kila kitu kutoka kwa...
Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu...
βYanga wana historia kwenye uwanja tutakaotumia kesho, walipoteza mchezo wa Fainali hapa kwa kanuni lakini naamini walishinda mioyo ya wapenda mpira hapa Algeria, kesho ni siku nyingine na...
Miezi mitatu iliyopita, Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, aliweka wazi kuwa kikosi chake hakikuwa kimefikia kiwango cha ushindani asilimia 100. Alipoulizwa hivi karibuni kuhusu maendeleo ya timu...
Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya...
Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger...
Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025.
Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka...
Wasaalam ndugu zangu Watanzania,
nabubujikwa na machoji ya furaha kuona Taifa la Tanzania likiwakilishwa na timu mbili kimataifa ktk mashndano ngazi ya vilabu yaani CAF CHAMPIONS LEAGUE na CAF...
Offen Chikola ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. Nilipata nafasi ya kumsikia akihojiwa mara moja, na jamaa huyu sio tu kwamba anajua mpira, bali pia ana akili nyingi za maisha ya kawaida...
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na...
Tottenham,Man City,Arsenal zina majeruhi zaidi ya 10.
Huku timu zetu wachezaji wote wako fit despite hawapitii vipimo vya afya vile inavyotakiwa.
Je wachezaji wetu hawajitumi au wamekomaa?
π°πππππππππ°
π #NBC Premier League
β½οΈ Namungo FC π Young Africans SC
π 30.11.2024
π Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
π 6:30PM(EAT)
KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA...
Katika hali ya kushangaza kiungo wa klabu ya Simba SC Yusuph Kagoma amefuta picha zake zote akiwa na klabu yake, pamoja na utambulisho wake Kama mchezaji wa Simba SC katika Mtandao wa Instagram...
Kwanini kuna mgawanyiko katika Ligi ya Premia kuhusu uungaji mkono wa kampeni ya wapenzi wa jinsi moja?
Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa jezi ya upinde wa mvua kuunga mkono...
Bila kujali nahodha ni Muislamu au Mkristo au Pagani ni lazima avae nembo za rangi ya Mashoga
Sasa hawa Watoto wanaoshinda kwenye kubeti wanafundishwa Maadili gani?
Niishie hapo πΌ
Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.
Ana...
Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi.
Fursa hiyo imepatikana...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mselemu amezikwa...
Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba?
Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3,
Azam 1 Kagera Sugar 0
Azam 2 Singida Big Star...
Simba na Yanga hiyo kabla ya Azam TV.
Radio kubwa ya kaseti mbili ya Mzee Mahira imewekwa barazani. Wengine tumesimama, wengine wamekaa. Tumejaa kibaoo. Hii ndo ile mtoto hatumwi dukani.
Hapo...