Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
INAWEZEKANA HATUMFAHAMU KOCHA OLE GUNNAR SOLKJAER . Tarehe 26 mwezi wa pili mwaka 1973 ndio siku rasmi aliyezaliwa Ole Gunnar Solkjaer kule nchini Norway .Maisha yake yote ya utotoni Solkjaer...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi? 1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza...
0 Reactions
2 Replies
607 Views
Salaam, Bila kupoteza mda hebu nirukie kwwnye nukta ya msingi, ukifuatilia picha mbalimbali zinazowekwa kwenye mitandao ya kijamii, utaona Simba hawafanyi mazoezi tena Bunju. Kwa wenye taarifa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Je, unakubaliana nae? Kwahiyo kwa Kuwataja hawa Watu Wawili kuwa ndiyo wenye Akili Yanga SC anamaanisha kuwa waliobaki Wote ni Mazuzu ( Majuha ) tupu tu au?
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu Admin amekuwa anapost kwenye ile page ya Simba SC kama vile ni page ya familia yake. Anaweza kupost kwa siku zaidi ya mara tano na mara nyigi anapost mipasho na kejeli zisizo na maana...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa kutambua umuhimu wa mechi ya leo na aina ya wachezaji walioitwa Taifa stars, ungekuwa nafasi ya kocha Poulsen ungekuja na kikosi gani? Mimi ningeanza na hawa hapa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Achana na Aseno, Man U, Man C, Chelsea, Spurs. UZALENDO KWANZA!
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Salamu kwa wote- kwa yeyote anaefahamu sehemu wanayofundisha mafunzo ya karate kwa watoto anijuze tafadhari- itapendeza zaidi sehemu hiyo ikiwa - Upanga- kisutu- au Ilala.
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa pendwa la michezo JF, Katika kipindi hiking ambacho team ya taifa ipo kambini kujiaandaa na mechi za kufuzu kombe la dunia nimepata wazo kama timu ya taifa inajumuisha...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba kujua je? kwenye jezi za simba sc jina la Yanga na GSM linahusiana na nini au ni wadhamini?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi ndivyo wenzetu wanavyojali wachezaji wao... Ona ghetto la mchezaji wao wa kimataifa linavyo fanana. Yanga SC mna mengi sana ya kujifunza...kutoka kwa Boss Mo Dewji.
8 Reactions
54 Replies
6K Views
Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga...
0 Reactions
7 Replies
846 Views
Hivi kuna wakumzidi David Bekham? Kama yupo lete jina
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi. Endelea na wewe...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems. Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…