Akitiririka na kuserereka na Kituo cha Redio cha Efm asubuhi hii mmoja wa Wadau muhimu wa Yanga SC, Mwanachama wa Yanga SC na Mdhamini pia ( japo huwa hapendi Kujulikana ) Mbunge wa Chalinze...
Yule samata wa jana hata angekutana na Italy angewasumbua sana ,jamaa alikuwa moto sana najiuliza ni kwa sababu mzungu alimuweka kushoto? nashangaaaa sana labda alikuwa anatufanyia makusudi akiwa...
Huku ni kudhalilishana tu. Watu wa kimataifa mnaposikia hiyo slogan msije mkachukulie watz wote mabogus. Hapana,ni kikundi kidogo tu kimeamua kinaitwa Utopolo.
Waambieni watu Return hii ni kwa...
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?
Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje...
Habari wandungu zaidi wanasimba wenzangu.
Kama mnakumbuka wanautopolo msimu uliopita wa ligi ya mabingwa walikuwa wananunua jezi ya mpinzani wa simba wakiongozwa na bosi tena zilikuwa zinauzwa...
Kutokana na kukiwasha kwa mtu fulani katika wakati wake kwenye timu,unakuta jezi ya namba fulani inakuwa inaheshimika hivyo hata anayepewa mara nyingi anakuwa ni yule mwenye kukaribia kama sio...
Kumbe hata Mbunge wa Chalinze mwana Yanga SC lia lia Ridhiwani Kikwete alivyosema Yanga SC mnafanya mambo ya Kipuuzi mengi hakukosea.
Pia kumbe hata aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa...
Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021.
Sasa kwa nini...
Hakika alichofanya vunja bei ni zaidi ya uhuni kwenye jezi mpya za simba, ubunifu zero alichofanya kachukua jezi ya timu ya taifa ya Tunisia ya mwaka 2019 kisha kaongeza yale makorokoro .
Na leo...
Binafsi sioni tija ya kutumia mbinu/propaganda hizi ili kuwaondoa mchezoni Rivers UTD. Naziona kama ni propaganda za kizamani sana.
Cha kushangaza mmeamua kutumia midomo ya upande wa pili ili...
Matapeli ya GSM baada ya kuitaka simba 2015 yakashindwana yalihamia Majimaji yalikuwa yakihaha kufunika uozo wao wa home shopping centre maana baada ya kudhamini kipindi cha ze comedy TBC waliona...
"Naomba Mdau yeyote mwenye zawadi kwa Taifa Stars awasiliane na Wizara ili tutambue zawadi ya mchango wa hamasa kwa Taifa Stars, hongereni sana Taifa Stars na Watanzania wote kwa hatua hii...
Kama kawaida mpiga madili makini muhindi mwamedi aliyejimilikisha makolo FC na wafuasi wa makolo mambumbu wote ni kama wake wa mwamedi.
Huyu jamaa ndiye aliyeziangusha hizi timu mbili singida...
Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.
Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka...
Kama kawaida.
Nabii Demigod niko Mjengoni na Swali jingine.
Ratiba LigiKuu Congo yaani LinaFoot imetoka leo. Inaonyesha kuwa TP Mazembe wanamchezo wa Ligi katika siku hiyo.? Je Simba wanacheza...
Tabia ya kutokuwa wavumilivu ndo inaiponza klabu yetu.
Huyu jamaa ni striker mzuri sana.
Alipita Yanga ya 2015 na akina Bossou
Jana kaisaidia Liberia kwa kufunga bao pekee dhidi ya Central...
Simba imepeleka majina ya wachezaji 31 CAF. Makipa wanne ambao ni chaguo lao la kwanza Aishi Manula, Benno Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim katika orodha hiyo.
Safu ya ulinzi ina mabeki...
Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama??
Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december?
Ratiba za EPL...
[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a...
Baada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa