Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeangalia pambano hapa huyu bondia wa namia ameonekana kuto kujiamini kabisa. Kakosa mbinu. Kakosa uvumilivu, alafu kwanini refa kamaliza mapema angemuacha apigwe ngumi za uso na mwakinyo ili...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Namshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni Ndio maana anamkacha Twaha kiduku
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji ameamua kujitosa kupimana ubavu na Bakhresa katika ligi kuu ya Tanzania kwa kuamua kuinunua timu ya Mbagala Market ambayo imepanda ligi kuu...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wadau za Jioni. Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba...
1 Reactions
89 Replies
5K Views
Wellcome for updates about this match from beigning to the end of this match. Starz will win or draw at the home? Madagascar starting XI Update Tanzania moja dakika ya 3 erasto kwa mkwaju...
6 Reactions
140 Replies
11K Views
Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Timu ya mpira wa miguu ya ITALY ambao wamewahi kuchukua kombe la dunia mara nne (wakilingana na GERMANY na wakiwa nyuma ya BRAZIL ambao walichukua mara tano) wameshindwa kufuzu kushiriki kombe la...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Simba Queens imepigwa mambo na kutolewa mashindanoni na mko kimya, mna siri sana machawa wa tajiri Ilivoshinda kumi, mlipiga sana kelele humu. Shubamiti.
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Twende sawa, Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day. Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App. Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa gazeti CHAWA la HOME SHOPPING CENTRE ni kwamba kocha mwarabu toka Tunisia haridhiki na maandalizi, yaani wazungu wanasema WRITING ON THE WALL. Mwarabu alianza kusema UTOPOLO FC...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau muwafikishie hizi salamu wahusika.. Sisi wauzaji tunapata tabu sana tunapofanya delivery ya jezi zenu kwa wateja kwani picha hazina uhalisia na bidhaa zenu.
8 Reactions
24 Replies
3K Views
wakuu kama tunavyoelewa kwamba kwa sasa hakuna klabu kubwa Africa mashariki na kati zaidi ya Simba sc Wapenda soka wote hata wadau wa simba tulilifuatilia tukio la mwananchi yanga kupitia azam tv...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda rank na kuwa nafasi ya 13 katika Ubora wa Mabondia duniani katika uzito wake wa super welterweight. Mwakinyo amepanda kutoka nafasi ya 24 aliyokuwa awali...
11 Reactions
51 Replies
7K Views
Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hizi sio zandani wala nini. Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
Jean-Pierre Adams alikuwa mchezai PSG huko chini Ufaransa, baada kupata majeraha kulikuja kutokea bahati mbaya hospitalini kufanya oparesheni ambayo ilikuwa siyo na kupeleka kuwa kwenye coma miaka...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…