Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano.
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza...
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea...
Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha.
Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge...
Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa...
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji jana amekutana na wachezaji wa timu hiyo na kuwalipa posho zao za msimu uliopita – lakini pia ameunda Kamati mpya ya mashindano baada ya kujizulu kwa Isaac...
Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku.
Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku.
Exhibition fight hakuna bondia...
Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao.
Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?
Ni kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake.
Lakini kilichonishangaza...
Takribani jezi elfu arobaini na mbili za mabingwa wa Tanzania Simba sports club zimepigwa bei kwa siku moja.
Hii ina maana kwamba ikiwa kila jezi imeuzwa kwa 30,000 basi almost 1.26Billions...
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.
Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za...
Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni.
Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki...
Bondia mmoja wa nchini Australia, Dwight Ritchie amefariki mara baada ya kutoka kwenye mazoezi.
Bondia huyo mwenye umri wa miaka 27, na baba wa watoto watatu alikuwa ana mapambano na Michael...
Kamwaga na usomi wako leo hii unalaumu Yanga kuvujisha jezi za Simba. Usuri wetu haupo kwa kuwakaribisha watu wa hovyo type ya kina mwijaku ndani ya klabu yetu hususan mambo ya Jezi.
Wewe...
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao...
Hassan Mwakinyo Vs Julius Indongo
Rounds: 12
Winner: Mwakinyo kwa KO
Title: African Boxing Union Super Welter
Stay there! Matokeo yatawekwa yote ya mapambano ya utangulizi hadi main card
Pambano...
Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi
Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani...
Wadau wa boxing naomba kujuzwa kwa anayejua muda wa pambano kati Mwakinyo na Julius Indongo. Leo Mwakinyo atakuwa na mtihani mkubwa maana mpinzani wake siyo wa mchezo mchezo.