Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni FIFA, lipo katika kufanya majaribio ya mabadiliko ya baadhi ya sheria ambazo huwenda zikaja kuanza kutumika siku za usoni huku lengo kuu ikiwa ni...
Wasalaam,
TFF inabd waweke sheria haiwezekani tuajiri magolikipa kutoka nje jamani kwa hili YANGA wametuabisha kabisa. Kama Taifa tutafakari hv Yanga wangemuchukua hata golikipa wa prison anafaa...
Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili.
Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu.
Hivi Sasa bado nadhani wapo...
Hizi sajili ninahofu nazo sana naona tunaenda kutolewa kwa aibu champions league na pia kuizawadia Simba kikombe cha 5 mfululizo.
===
Ambundo amewashusha presha mashabiki kwa kuwaambia kuwa kila...
Mashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.
Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
Chelsea kabeba cup jingine usiku wa leo (UEFA super cup) hakika huyu kocha Thomas Tuchel ananyota ya makombe ndani ya Chelsea, hutufanya sisi mashabiki wake tuzidi kunenepa hahahaah
Jack Grealish amehamia Manchester City akitokea Aston villa ambako alikuwa nahodha.
Huyu dogo ambaye amewahi kutukanwa matusi mengi asiyojua maana yake na baadhi ya Watanzania kuptia mitandao...
Hii ni mpya.
Serikali imesema itajenga vituo 3 vya michezo kwenye mikoa ya Geita, Dodoma na Dar es Salaam ambapo kila kituo kitagharimu bil.3.
Aidha Serikali itajenga kituo cha umahili wa...
Matokeo ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania, ni Yanga ( Al-maaruf Kandambili) wamefungwa 1-0 na Maafande wa polisi Morogoro.
Kandambili ambao wana udhoefu mkubwa wa kufungwa tokea kuanza kwa ligi...
Messi amepokelewa leo Paris na jiji hilo kusimama pale alipowasili na kupokewa na maefu ya wafaransa kuanzia airport hadi mitaa yote huku akiongozwa na msafara ulosheheni mapikipiki ya askari wa...
“Tuna stress, hatujalipwa mwaka mzima.” Hiyo ni kauli ya mmoja wa waamuzi wanaochezesha mechi za Ligi Kuu bara msimu huu akifungukia sakata la baadhi ya waamuzi kuonekana wakiboronga kwenye mechi...
Siku zingine Wadukuzi na Wanyetishaji wa Taarifa za ndani ( za Siri ) akina GENTAMYCINE tunawaambieni Mambo hapa kwa 99.9% muwe mnatuelewa tafadhali.
Ni kwamba Uongozi wa Klabu ya Yanga na...
Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza
Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier...
Kabla ya Cristiano Ronaldo kujiunga na Juventus, Juventus walikuwa na followers Milioni 9 tu,
Ndani ya mwaka mmoja baada ya Cristiano kujiunga Juventus wakawa na followers milioni 31, kwasasa...
TFF to give Stars 30m/-
2007-10-06 08:24:35
By Oforo Vallentine
The Tanzania Football Federation (TFF) has said they will give Taifa Stars players 30m/-.
TFF Secretary-General...
Team Ronaldo mlikua mnataka Messi ahame ligi kama Ronaldo leo mmebadilika Tena baada ya Messi kwenda PSG [emoji1787][emoji1787]
Aisee eti mnasema kaenda farmers league Basi sawa ligi ya Ufaransa...
Punde baada ya Lionel Messi kutangaza kuondoka Barcelona, baadhi ya Wajumbe walianza kujiuzulu nyadhfa zao ndani ya klabu wakilalamika kusalitiwa na Rais Laporta
Wengi wanadai dili la Messi...