Uongozi wa Simba SC Pamoja na msemaji wao lopo lopo asie na weledi Haji Manara wamegundua kua tambo zao hua zinawapa morali na kubusti hari ya upambanaji kwa wachejibwa Yanga kwenye Derby.
Mara...
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imemchagua Barbara Gonzalez Kuwa Afisa mtendaji Mkuu wa klabu hiyo.
Barbara amechaguliwa na bodi ya wakurugenzi ya Simba,anachukua nafasi iliyoachwa wazi na...
Kwa matokeo ya mechi za juzi pale Zanzibar yamkini mfungaji bora akawa yupo Zanzibar lakini hatujui! Nawashauri ZFA watunze kumbukumbu vyema ikiwezekana wainggie mikataba na Azam Tv mpira wa...
Simba huyu mwalimu/msemaji atawafaa sana ikiwa mtaamua kuachana na Haji,huyu ni muhamasishaji nguli na huenda akawa hana gharama kubwa zaidi ya mshahara wa wastani na kumnunulia simu 6 za smart...
Haji Sunday Manara ameishi Simba kwa kudra ila sio kwa sifa na weledi. Kwenye eneo la weledi tumuache mkurugenzi mtendaji mwanamke Barbara afanye kazi na apange safu kwa ustawi wa Simba.
Haji...
Manara kama mwajiriwa anawajibika kufuata sheria za kazi kwa mapana yake.
Lakini hili la kuanza kutukana mkuu wake wa kazi hadharani kwenye mambo ya kazi na tena kwa ushahidi kabisa! Hilo ni kosa...
Nashauri uongozi wa Yanga, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wa Yanga tusije kubweteka na mpasuko uliojitokeza Simba kwa maneno ya Haji Manara yanayosambazwa mitandaoni na kuacha kujipanga...
Baada ya msemaji wa Simba, Haji Manara kumtuhumu mkurugenzi wake kuwa na chuki dhidi yake na kutoa madai kadha wa kadha, Barbara amejibu kwa sasa akili yake iko kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya...
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji, hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama Simba labda Ndondo Cup, huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na...
Uongozi wa Simba amkeni, kabla ya saa nne, wanachama na wapenzi wa club tupate taarifa, tayari mmeshamfukuza huyu msaliti
Anajua kabisa keshokutwa tuna mechi ngumu na mtani,yeye anaanzisha...
MAONI YANGU JUU YA AUDIO CLIP YA MANARA ni kama ifuatavyo
Regardless kama tuhuma anazotuhumu Manara kwamba kufedheheshwa, kunyanyaswa and the like ni za kweli au la! Kitendo alichokifanya cha...
Ila duh hii dunia tunaishi tofauti sana, ukiachana na hio miradi yake anayopiga hela, pound 1.2 Million a week ndio mshahara wake kwa euro ndio zinazodi zaidi ya hizo, leo bossi wako kukulipa laki...
Huyu ni Clatous Chotas Chama. Huwa hana mbio sana. Ni mtembeaji tu Uwanjani. Ana assist 15. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 15 na magoli mangapi? 7 kama sikosei
Huyu ni Tuisila Tununu Tusinda...
Nimezifuatilia sababu za baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Mashabiki ' Wapuuzi ' wachache juu ya sababu zao kutaka Kocha Mkuu wa Simba SC Patrick Aussems aondoke na Kugundua kuwa zote ni za...
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.
Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi...
Ni muda mrefu sana tangu kuanzishwa kwake hivi vilabu vimekua vikirandana na kufanana kwa kila jambo kama mapacha.
Ndio maana hata imekua ngumu sana kwa kilabu kimoja kuendelea saana kuliko...
Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga.
Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba...
Tangu alipoibuka ghafla kutoka kusikojulikana, mashamsham yameongezeka sana, Yanga imechangamka, kwanini asiwe msemaji wa yanga ili kushindana na Manara?!