Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] hapo taifa tu kuitafuta...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Simba moja nguvu moja.. Ushindi daima! Tumekuwa na wiki ya figisu nyingi. Ni figisu za kutaka kutuvuruga kwa kuwa mpinzani wetu amejikuta hana ubavu wa kutufunga tena kama alivyobahatisha mechi...
22 Reactions
57 Replies
4K Views
Hakika umekua msimu wa mafanikio kwa klabu yetu pendwa ya Simba chini ya uongozi wako Imara. Tadhmini ya Mafinikio 1) Usajili wa Didier Gomes. Hapa tulilamba dume. Sven alikua kocha mzuri ila...
12 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuelekea mechi kubwa Africa mashariki, barani Africa na dunia kwa ujumla yafuatayo ni mambo makuu yanayoenda kutokea kwenye mechi ya tarehe 25. Pale kigoma 1. Yanga kumfunga simba, hapa tuwe...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Naomba kujua maana ya proffessional player . Sifa zipi zinamfanya mchezaji kua proffessional? Kuna wachezaji proffessional na asiyekua proffessional kwenye team moja? Katika lugha ya kiswahili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natazama Olympic Basketball USA Vs France. Naona hii USA the dream team hamna kitu kabisa.. Niliona walifungwa hadi na Nigeria kwenye maandalizi ..naona mwaka huu hata medali ya Shaba hawapati
1 Reactions
7 Replies
995 Views
Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Wao wasioamini kinachoenda kutokea keshooo Kigoma. Wale wa betting mnaweza kula hela hii. Htft Yanga/Yanga, ama htft Simba/Yanga Red kad itakuwepoo kuwaondoa mchezoni Yanga Lakini ft Yanga...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mzuuka jf. Mpaka Sasa 'kitamaduni za kiafrika' yanga ameshamaliza mechi yake dhidi ya mtani wake simba,haikua rahisi kuicheza hii mechi kwani Simba walikuja kivingine kupitia yule mtaalamu wao wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
BAADA ya kupenya kwenye raundi ya 16 ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati,Ngao ya Jamii na Mapinduzi Azam FC, imepangiwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Caosta union 3, Pamba 1 Aggr 5 kwa 3 kwa maana hiyo Timu hizi zinaenda kwenye ligi zao. Mtibwa 0 Transit 1 Aggr 4 kwa 2 Kila timu inabaki ilipotoka, Hakuna kuha mji,
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Watani kumewaka hukooo. Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula. Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points. Hapa mtaelewa zile...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Hizi hapa ni orodha ya kesi zilizopo CAS ambazo zitasikilizwa mwezi wa sita hadi tarehe 1 mwezi wa saba 02.06.21 CAS 2020/A/7582 Al Sadd Sports Club v. Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) CAS...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi ni shabiki wa yanga ila hiyi ndoto nimeiota jana usiku kuamkia leo Ngoja tuone
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Karibuni wana ukumbi, Kuna wachezaji walikuwa/wana uwezo wa kawaida lakini wamepata mafanikio makubwa sana kutokana na mafanikio ya timu aliyochezea/anayochezea. Mfano: Anderson enzi akiwa Man...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
Kuna shida gani? Naona kila siku waandaaji ni Ulaya, Amerika na Asia. Huku sisi Afrika tatizo nini? Mbona Kombe la Dunia tuliweza na likafana sana, ni wapi tumekosea mpaka tukose nafasi ya kuandaa...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
"The older I get, the better I get, like red wine." 🍷 “I can’t help but laugh at how perfect I am.” 😎 "Lions don't compare themselves to humans." 🦁 39 is just a number for Zlatan Ibrahimovic 💪
2 Reactions
2 Replies
712 Views
Me hii final dakika 90 za mwanzo naweka draw.desturi ndo ipo hivo kama kuliwa acha niliwe kivyangu.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mambo ya transfer season. Uongo mwingi kuliko ukweli TRANSFER WINDOW OPENS Man City be like: - 12:30 no transfer news -4:30 man city signs Herod, Methuselah and Enoch . Chelsea be like -tuesday...
1 Reactions
2 Replies
544 Views
Timu ya ligi kuu, Coastal Union leo inacheza mechi ya marejeo na timu kutoka daraja la kwanza inayojaribu tena kurudi ligi kuu, Pamba ya Mwanza. Mechi iliyopita walitoka sare ya magoli 2-2 na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom