Huu ni upumbavu kabisa!
Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi
Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile...
KIUNGO HARUNA NIYONZIMA 'FABREGAS' AMEJIUNGA NA YANGA KWA MKATABA WA MIAKA 2 AKITOKEA KLABU YA APR YA NCHINI RWANDA.
.
HARUNA NIYONZIMA AKIKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 NA MJUMBE WA KAMATI YA...
Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi
Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja...
🚨 Tom Starke alicheza mechi 12 Pekee pale Bayern Munich kwa misimu sita kuanzia 2012 Hadi 2018 na akashinda mataji 14 na Bayern. 🤯😱
➡️ Bundesliga: 6X
➡️ DFB-Pokal: 3X
➡️ DFL-Supercup: 2X
➡️ UEFA...
Hawa jamaa wa CAF wameshindwaje kuipeleka hii fainali kwenye taifa lisilo na lockdown
Yani fainali inaboa ipo kama mazoezi yani.
Juzi tu hapa tumeona fainali za EURO huko budapest watu wako full...
Ukweli ni kwamba kuna viongozi pale utopoloni wakishirikiana na kundi la Yanga WhatsApp la kina Mo Kabwe na kina Jimmy Kindoki kazi yao kila siku ni kutengeneza makorokocho kudanganya wana...
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby.
Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu...
Kuna habari zinasambaa mitandaoni kwa kasi sana kwamba ma-star wa Simba wanahitajika na timu kubwa barani Afrika kwa udi na uvumba. Na wengine wamethubutu kusema mpira ni biashara. Ni kweli mpira...
Simba ilipojitoa Kagame cup na kusema wanawapa mapumziko wachezaji ya siku 10 then wanaenda kambi Misri kulikuwa na kebehi za kutosha kwamba wamewakimbia Yanga ambao walisema watashiriki michezo...
BAADA ya Simba kukabidhiwa kombe la ubingwa wa FA bila zawadi ya pesa, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema itakabidhiwa fedha wakati wowote.
Simba imetwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho la...
Mimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweka hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana
1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona...
Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
Mchezaji akifanyiwa madhambi (foul) ndani ya eneo la hatari (penalty box) kinachofata ni mpira wa adhabu ambao hujulikana kama mkwaju wa penati, lakini ulishawahi kujiuliza kuhusu hii (kwenye...
Jana nilimshuhudia Bernard Morrison akivua bukta yake baada ya ushindi na kubakiwa na gguo ya ndani.
Hilo suala la kusherehekea ubingwa kwa staili hiyo si la ajabu machoni mwangu hivyo hata...
Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa...
Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika...
Rejea kichwa cha habari
Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100
Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For...
Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.