Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa ufupi tu, Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga...
12 Reactions
21 Replies
3K Views
@mukoko_tomombe Awaomba radhi Viongozi, Benchi la Ufundi, Wapenzi, Wanachama na Mashabiki.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Olympics Group F:Women ▪️ Brazil 5-0 China ▪️ Netherlands 10-3 Zambia ▪️ China 4-4 Zambia ▪️ Netherlands 3-3 Brazil 32 goals in four games 😳
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjani na redi kadi yenu kapewa maagizo wapi sijui Ushauri 1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza 2) Wachezaji mjitume...
36 Reactions
166 Replies
17K Views
Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi. Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa. Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Simba imetangaza kujitoa kwenye mshindano ya Kagame yanatotarajiwa kufanyika mapema Agosti jijini Dar es Salaam. Mratibu wa timu Simba, Abbas Ally amesema hawashiriki Kagame ili kutoa nafasi kwa...
10 Reactions
25 Replies
4K Views
Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba...
17 Reactions
548 Replies
50K Views
1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Sisi Yanga Mzee Mpili katuroga kabisa. Msimu Huu tumembeba Hersi Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimekaa najiuliza hivi siku ya leo ya mechi ya Simba na Yanga na kwa hali ilivyo kati ya Manara na uongozi wa Simba, muda huu unafikiri atakua wapi? Mimi ninavyoona atakuwa zake shamba hataki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
11 Reactions
335 Replies
28K Views
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" . Naomba asitokee...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana. Unahisi nini...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu Target...
11 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaaaam wakuu Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana..... Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanga akishinda itakuaje? Morisson akishinda itakuaje?
2 Reactions
135 Replies
13K Views
Back
Top Bottom