Huyu njiti kutoka kule Rosario Argentina, tarehe kama Ya Leo alizaliwa.
Katimiza miaka 34 leo, ni majonzi sana Kwa wapenzi wa Kabumbu kuona Vijana hawa wataalamu wa huo Mpira Umri unawaaga.
Na...
Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji...
Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo...
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 23 imetwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA kwa kuifunga Burundi kwa mikwaju ya Penalti 6 - 5 baada ya kutoa suluhu ndani ya dakika 90 kwenye uwanja...
Je, ni Haji Manara ambaye baada ya Kuuamisha Umma kuwa anaonewa hivyo alitamani Simba SC ifungwe majuzi ili aje Kummaliza vyema Adui yake Kisha akaendelee zake Kupiga Pesa ASAS Diary, Azam...
Kuna siku nilisikiliza Wasafi FM kuna jamaa alihojiwa nasema anaunga mfupa uliovunjika bila kupasua tena akasema hata Mapinduzi Balama angeenda kwake angemtibu within a month.
Sasa kuna huyu...
Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali...
"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko...
Rejea kichwa cha Habari hapo juu
Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka...
Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake...
Jose Mourinho: ′′ Nadhani mwanangu, Heung Min Son anapaswa kumtazama Harry Kane. Amka mwanangu Son na uombe uhamisho haraka ikiwa unataka kitu cha kuonyesha kwa familia yako kule Korea baada ya...
link hiyo hapo
https://twitter.com/CAFCLCC
===
Mpigie kura Luis Miquissone kupitia ukurasa wa @cafclcc wa Twitter ili goli alilofunga tulipocheza na Al Ahly liweze kuwa bora la Ligi ya Mabingwa...
Kwa sababu ya Manara ilibidi Yanga watafute kikundi cha wapiga kelele angalu wapambane naye. Lakini sasa Yanga itkwenda kuwa juu sana.
Msimu ujao ulimuhitaji sana Manara. Yanga itakua imara sana...
======
Hajj Manara mwisho wake ni leo, Gsm poleni sana yuda iskarioti is out, Ezekiel ni kama vile anapewa miezi miwili ya transition ili kuendeshwa kitofauti na kusafisha u snitch...
Manara ni 1 ya aina ya Wananchi ambao roho huwa inaniuma sana kuwa hatuna bado utaratibu mzuri wa kusheherekea watu wetu kwa Mapungufu/Mazuri yao.
That guy, amechangia kuongezeka uzalendo wa...
Kwa tunaomjua Ezekiel Kamwaga ni Simba damu na ameshafanya kazi hadi za kujitolea pesa yake mifukoni enzi hizo hakuna cha Mo wala nani.
Kashafanya kazi hadi ya kuwa Kaimu katibu Mkuu, watu wakiwa...
Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka.
Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.