Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Wakili Kibamba amehamishwa Kituo Cha Kazi Kutoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji la Mwanza Na Kupelekwa Kuwa Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Wilaya Nzega...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za Jioni wadau. Leo usiku saa tano nchini Morroco nyota wa Kitanzania, SIMON MSUVA anayeichezea Wydad casamblanca na Shabani Chilunda anayeitumikia timu ya Moghreb Tetouan zote za...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Msimu uliokwisha akiwa na Yanga, Farid hajafunga goli hata moja huku akitoa asisti TATU tu. . Kwa takwimu hizi, unamuona Farid akirudi Ulaya tena?
4 Reactions
22 Replies
3K Views
′′ Nilikuwa na umri wa miaka 22 na mkataba wangu na AS Cherbourg ulikwisha. Wakala wangu aliniambia kuwa nilikuwa na ofa ya kujiunga na vilabu vingine vidogo. Baadaye, nilijaribu kuwasiliana...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
‌Lionel Messi kuhusu kuwaheshimu makocha ambao hawajawahi kumfundisha:′′ ingawa nawaheshimu makocha wote wa mpira wa miguu, lakini naweka heshima maalum kwa Jose Mourinho na Sir Alex Ferguson...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa mchezaji wa mpira ambaye yupo active, wa timu yoyote duniani aliyefariki kwa ugonjwa wa korona.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari Wana michezo poleni wanachama wenye team yenu sababu mnaponzwa na mashabiki Kwan wao wanacho taka ni furaha tu Leo Mo katangaza kuweka Ile B20 ya hisa 49 kitu ambacho asinge fanya kama...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari za jumapili wakuu hivi amino acid inafaa kwa watu wembamba kama mimi nina mikono membamba yaani focus yangu ni kujaza mikono Ushauri wenu wataalaam wa protin supplement
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
RATIBA YA KESI KASI WEEK HII 26.07.21 CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC) CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Instagram: fananimedia Dkika zinayoyoma katika Dimba la Benjamin William Mkapa ubao wa screen kubwa iliyopo kaskazini mwa uwanja unasoma Simba 5-0 Yanga mashabiki wa Yanga wenye roho ndogo na...
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Ntafurahi nikiona mawazo ya mpwa want HUyu kabla ya mechi Simba vs yanga Otherwise namtakiaaa mechi njema.kama n mpenzi waoujichanganya avae BARAKOA anawe mikono kabla ya kuzama vibandavyetu vile...
1 Reactions
4 Replies
775 Views
Gianluigi Buffon: "When I was little, someone legendary entered my life. Thomas N'Kono, the Cameroon team goalkeeper. I saw him play at the Italy World Cup in 1990. I remember the first game...
7 Reactions
6 Replies
943 Views
Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Habarini Wakuu, Natumaini mko poa kabisa katika jitihada za kujiendeleza kila siku. Kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu, ningependa kufahamu (na kufahamiana) kama kuna mashabiki humu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA. Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumeanza mtindo wa kila mechi simba na yanga wanapigwa faini Hii ni aibu kwa soka letu haiwezekani kila siku faini. Watu wanajiuliza kumbe hizi mechi ni dili sana mwisho hamtutuona uwanjani...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA. 31.07.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu jamaa anajua namna ya kuwapiga chenga watu. Jamaa hakuwa na mtaji wa kuingiza Simba SC kama mtaji. Kakabidhiwa timu kwa kauli ya mdomo. Katumia muda mfupi sana kuhakikisha pesa ambayo...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Mimi ni mdau mkubwa wa michezo, napenda sana michezo... Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitazama na kufatilia sana michezo ya olimpiki, kiukweli sio tu unaenjoy mchezo lakini pia unajifunza vitu...
1 Reactions
1 Replies
821 Views
Back
Top Bottom