Ikiwa huyu mzee wetu ataelekea kwenye fainali hii kule Kigoma ninashauri apatiwe ulinzi binafsi either Yanga au Kamati ya ulinzi na usaĺama ya mkoa wabebe jukumu hili
Huenda ikatokea mzee wetu...
Hilo lipo wazi sana jamaa anakiburi na kisirani, hiki kitendo cha kususa sherehe ni ujinga mkubwa, Mbona Kuna watu inajulikana sio mali ya Simba kama Sheva lakini wamekuwa waungwana?
Jamaa...
SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA
Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara.
Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na...
Habari wakuu
Nawaza hapa endapo Simba itafungwa tena kigoma sijui hali itakuaje.
Naiona Yanga ikitawala msimu ujao baada ya Simba kupasuka vipande vipande baada ya matokeo ya Kigoma.
Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa"
Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati...
Mwanachama mkongwe wa Klabu ya mpira wa miguu ya Yanga Mzee Ibrahim Akilimali amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Bagamoyo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...!!
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mkurugenzi wa ufundi anakazi gani (majukumu) kwenye timu.
Kama sijasahau amewahi kupita KIM POULSEN, AMMY NINJE & OSCAR MIRAMBO pale TFF. Binafsi sijawahi kuona nini...
Habari wakuu,
Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake.
Mapato ya mlangoni...
Viongozi wa mtibwa wamedai kuwa baada ya kucheza Mechi yao Alhamis dhidi ya Dodoma jiji waliondoka Dodoma na kuelekea Iringa kama ratiba ilivyoelekeza lakini baadae walipokuwa Iringa walitumiwa...
Leo ndio tunahitimisha Vpl mnamo maajira ya saa 10 jioni.
Hizi ni baadhi ya Mechi tamu Sana,
1.coast union vs Kagera
2.Jkt Tanzania vs Mtibwa sugar
3.Mbeya city vs Biashara
4.Tanprison vs Gwambina...
Baada ya mechi ya ngao ya jamii kupigwa, ni kiashiria tosha kuwa ligi inakaribia kuanza.
Timu zimejiandaa vizuri, kuanzia kwenye usajili wa vikosi vyao mpaka kwenye benchi la ufundi.
Huu ni...
Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza...
Kama inavyo fahamika kwenye ligi yoyote Dunia bingwa hua ni mmoja ,ligi kuu Tanzania bara imetamatika leo na Bingwa wa nchi Simba SC wamekabidhiwa kombe lao huku wapinzani wao wakuu Yanga SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.