Wanaojiita wananchi walipata kunena yafuatayo:
1. Hatuwezi kutumia bus la wahindi.
2. Mo hana hela, B20 imemshinda hawezi kununua Bus zuri.
3. Bus letu jipya ni kama la Madrid, Liverpool &...
Watu walio karibu na huyu mchambuzi uchwara wamshauri zaidi,atumike akiwa anatumia akili na kunena kweli. Haiwezekani watu wakutumie kwa vyovyote. Maana hata kuna malaya unaweza kuchukua lakini...
Uwanja mkubwa kuliko yote hapa nchini ni Uwanja wa Taifa (Uwanja wa Mkapa) ambao unachukua watazamaji 60,000.
Uwanja huu unamilikiwa na Serikali ulijengwa kwa ushirikiano na serikali ya China...
Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za...
Unalala masikini unaamka tajiri..
Hii inawezekana tu kama una beti kibiashara zaidi.. Sio kubeti kama mchezo... Tumia akili..
Ukitaka kupiga hela za betting tumia mbinu hii ambayo imeniwezesha...
“Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini... they could go to Harvard University to give classes about how to be a central defender. They’re quality. When I say quality I don't just say creative...
Kiingereza
Tanzania's Giant Club and VPL Champions Simba SC have lined up Kaiser Chiefs and Kenyan international midfielder Anthony Teddy Akumu as the perfect replacement of Brazilian Gérson...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu...
Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao.
Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao...
Kutokana na ukweli kua hakuna Simba bila Yanga na uwepo wa clabu moja ndio chachu ya maendeleo kwa clabu nyingine hasa zenye upinzani kama Simba na Yanga basi ni lazima hivi vilabu vitengenezewe...
Wakuu salaam,
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora.
Inawezekanaje...
After the Europa League final heartache💔 on the 26th May😁Wachezaji wao wote went to their respective national teams in search of TROPHY.....
▶Fred Brazil❌
▶Cavani...
Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni...
Jana kuna mtu anaitwa JAPHET KASILIRWA kutoka Rukwa, alikuwa mwamuzi msaidizi namba 1 Uwanja wa Taifa mechi ya Simba V Coastal.
Kayafanya mambo anayajua yeye pekeyake sababu binafsi nimefanya...
Mabingwa ni Simba Sc
Mfungaji bora ni John Bocco wa Simba Sc
Mchezaji bora ni Luis Miqsonne wa Simba Sc
Kipa bora ni Aishi Manula wa Simba SC
Beki Bora ni Joash Onyango wa Simba Sc
Hawa Simba...
Stat Leaders in UEFA Euro 2021,
Most goals - [emoji1201] Ronaldo (5)
Most assists - [emoji1237] Steven Zuber (4)
Most free kicks - [emoji1087] Damsgaard (1)
Most key passes - [emoji634] Marco...
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.