Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane. Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM. Mfikishieni...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Ufaransa itakuwa bingwa kwenye mashindano haya ya EURO yanayotegemewa kuanza 11/6/2021 Binafsi sijaona timu yakumsumbua France wana kila aina ya mchezaji na wamekamilika kila idara
3 Reactions
112 Replies
8K Views
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini. Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhari za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa, Watu wameajaa, no Barakoa. Mama wahisha 'Chanjo'
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Huku Watu wa Yanga SC wakidhani kuwa Mkataba wao waliouingia Jana na Azam Media ni mnono mpaka wanawacheka Simba SC kumbe wameula tu wa Chuya. Taarifa za ndani kabisa ambazo msaka Habari ngumu na...
14 Reactions
93 Replies
12K Views
Unaweza usijue maana yake ila kuna raha sana timu yako ikiwa underdog kuishinda club kubwa. Niko mkoani huku bado naona kuna Bajaji inatembea na bendera ya njano.Unaweza kufikiri timu yake ndio...
3 Reactions
11 Replies
970 Views
Jana nimeangalia mechi kupitia TV ya Kenya nikajiuliza TBC wana mpango gani na nchi hii au wao ni kusifu tu wakienda mbali ni sabasaba. Viongozi TBC jipimeni kama mko kazini.
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwema wadau, Katika thread hii tutakuwa tukipeana Habari za usajili wa wachezaji kwa msimu 2021/22 kutoka nchi mbalimbali na ligi mbalimbali duniani. Kuna baadhi ya timu zimeshakamilisha usajili...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Didier Gomes amewaambia viongozi kwamba ; “Iwe iwavyo namtaka yule rasta wa Mbeya City hapa.” Kocha huyo anamaanisha wanase saini ya straika Kibu Denis ambaye watani zao Yanga nao wanamfikiria...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Moja kwa moja niingine kwenye maada husika, kumekua na mkanganyiko Kati ya uwekezaji uliofanya na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa jangwani...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wa kusisimua. Kwa kuwa tuna nafasi 2 CAFCL basi Bingwa wa Zanzibar ashiriki na bingwa wa bara (ambaye kwa msimamo ulivyo inaweza kuwa Yanga 🤣🤣🤣). Simba na wenzake wabakie kombe la...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Ukitazama Mikataba ya Azam TV kwa mpira wa Tz unaona kabisa mabilioni mengi yanawekeza kwenye mpira wa Simba na Yanga tu... Wakati zipo nchi hazina uwekezaji huo lakini zinaaandaa michuano ya...
1 Reactions
9 Replies
799 Views
Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Vijana na Wanamichezo Jimbo la Singida Magharibi wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Elibariki Kingu kwa kutimiza ahadi zake alizowaahidi kipindi cha Kampeni 2020.
1 Reactions
4 Replies
904 Views
fanali ya kombe la shirikisho inapigwa leo Raja casablanka ya morocco vs Js kabliye ya algeria Mchezo upo unaendelea Raja anaongoza 2-0 kwa wale wazee wakubeti hii mechi itaisha hivi hivi wekeni...
4 Reactions
9 Replies
867 Views
" TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuelekea world cup 2022 nchini Qatar naona la pulga akitwaa medali ya dhahabu akiwa na umri wa miaka 35. Tuombe uzima tu
2 Reactions
4 Replies
847 Views
Back
Top Bottom