Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu. Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo...
1 Reactions
8 Replies
872 Views
Endapo matokeo yaliobaki yatakuwa hivi.
3 Reactions
12 Replies
786 Views
Kuelekea mchezo wa VPL ambapo Watani wa Jadi Tanzania (Kariakoo Derby) Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo ambao utapigwa Jumamosi ya July 3, 2021. Klabu ya Simba imeliomba Shirikisho la Mpira wa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mchezaji huyu ameonyesha kiwango cha chini kabisa cha uchezaji ambacho hakilingani kabisa na hadhi ya Simba na hasa pale anapokosa magoli ya wazi mechi baada ya mechi. Waliofanya scouting...
12 Reactions
102 Replies
7K Views
Wadau wa soka husema mpira wa miguu ni science lakini hali ni tofauti kwa upande wetu huku Tanzania, ambapo matukio ya kuwapa watu millage kupitia mgongo wa soka yametamalaki na bado hakuna...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Ninasikitishwa sana na mbinu za maneno maneno kutoka club yangu ya Simba wakidhani yana msaada wowote katika ushindi. Nimeona Kaizer chief wameanza kijihami ikiwa ni pamoja na kulalamikia...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Majira ya saa nne asubuhi Serana Hotel, klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Azam Media watakuwa na tukio kubwa Yanga inakwenda kupiga hatua moja muhimu katika mwelekeo ambao kila mmoja alikuwa...
4 Reactions
7 Replies
726 Views
Mzee Mpili ametupa somo kubwa sana, ametufundisha tena, tena kwa vitendo juu ya nguvu na nafasi ya saikolojia. Kwamba hamasa ya kuinua morari, munkari na kujiamini Kwa watu wakiwa katika Hali...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma. Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii nchi ya Tanzania ukiamua kufa kwa stress au umasikini basi utakua umejitakia mwenyewe. Unaweza kiutani utani tu ukawa maarufu na ukapiga pesa. Huyu anajiita Mzee Mpili eti kwa sasa ni mtu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Mzee wangu najua unasoma uzi huu sasa hivi nakuomba kwa niaba ya mashabiki wa Simba SC utusamehe kama tulikukwaza kwasababu umetuandamana sana. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
4 Reactions
36 Replies
4K Views
CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
1. Man Utd 4-3 Man City (mwaka 2009.) Wakati Craig Bellamy akiisawazishia Man City dakika ya 90 na kufanya ubao usomeke 3-3 wengi waliamini mechi hiyo ingeisha kwa sare, zikaongezwa dakika 4...
10 Reactions
204 Replies
31K Views
siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za asubuhi hii wanabodi. Nimejaribu kufikiri kwa sauti kuwa Messi huwa anafanya Mambo kimya kimya. Kwa kuzingatia hilo na yeye kugoma kusaini mkataba mpya na Barcelona inadhihirisha...
3 Reactions
7 Replies
913 Views
Mshambuliaji wa Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini raia wa Uruguay Gaston Sirino ,30, ameeleza kusikitishwa kwake kwa vilabu vya Al Ahly na Mamelod kuchelewa kufikia muafaka wa uhamisho wake...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]
1 Reactions
9 Replies
988 Views
Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
1. Kuwaanzisha Erasto Nyoni na Bernard Morrison ambao leo ndiyo Wachezaji wa Simba SC waliocheza vibaya na Kuharibu zaidi badala ya Kuwaanzisha Muzamiru Yasini na Rally Bwalya Kiufundi...
31 Reactions
150 Replies
10K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom