Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua.
Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni...
Habari wana jamvi to decrare interest mimi ni mshabiki wa simba lilia na matokeo ya jana yameniuma sana na kama mnavyojua Kufungwa inauma sana.
Ila kwa upande mwingne bora tumefungwa huyu mtu...
Wakuu,
Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao...
Enyi wazee wa Simba Sc,sisi vijana wanazi wa Simba tunayo huzuni kubwa sana Kwani mmekuwa kimya huku mnamuacha mzee Mpili anajimwambafy na kutupiga biti sisi washabiki na wachezaji,haiwezekani...
Derby ya Simba na Yanga inakaribia
Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba.
Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka
Si la...
Polisi wa Metropolitan nchini England wamethibitisha kuwashikilia watu 9 ambao wamehusika na vurugu baada ya mechi ya robo fainali ya EURO 2020 kati ya England vs Ukraine.
Tukio limetokea baada...
Jambo wakuu!
Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali...
Simba hana uwezo wa kumfunga yanga
Akishinda hii game Mimi nakuwa mwanachama wa ccm
Yanga anaenda kushinda hii game na vyombo vya habari Tanzania vinawapoteza watu kama walivyofanya kwa Man city...
Wakati Simba wanaelekea katika kufanya mabadiliko ya uwendeshaji wa klabu hio kulitokea Makundi matatu
1 Waandishi wa Habari za Michezo
2 Watangazaji wa Habari za Michezo
3 Wachambuzi wa Habari za...
P R I S C A - K I S H A M B A !
- Mwandishi / Mtangazaji wa clouds fm ametishiwa kudhalilishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara.
"KOSA LANGU NINI? Leo nilikuwa sehemu ya waandishi wa...
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba...
Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee.
Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000...
Bila kuficha usajili wa yanga una kasoro kubwa sana kila mwaka. Hivi ni kwa nini yanga hupenda kusajili asilimia kubwa mitumba mikubwa kutoka nje ya nchi na kudharau wachezaji wenyeji? Hii dhana...
Hawa jamaa wana malalamiko hadi aibu, kila siku Karia Karia, angalia hata kwenye top scorers wa ligi hawapo hawana hata mchezaji mwenye goli 8,hawa watu wako serious kweli?
Jana kwenye under 20...
Wana Miezi Mitatu hawajapewa Mishahara na si kwamba labda Tajiri 'Mzanzibari' hana Pesa bali kaamua Kuwafanyia 'Kusudi' baada ya Kuwaambia Wachezaji wanamuangusha kwani anawapa kila Kitu hivyo...
Hakika hizi ni timu kongwe Tanzania na ndio timu pekee zinazo ongoza kuingizia mapato makubwa zaidi serikali, mama n'tilie, machinga, bodaboda n.k
TANGU LIGI KUU KUANZA MWAKA 1965 SIMBA VS YANGA...
Mechi kali kama ya leo ya Simba na Yanga huwa na vimbwanga vingi kila shabiki akizungumzia umaridadi wa timu yake.
Mbali na hilo, kuna suala la hela. Je, unaweza kuiua timu yako kwa kuwa anaamini...
"Wachambuzi", watangazaji na "wasemaji" wa timu za kitanzania.
Utawasikia " tumepata matokeo" wakimaanisha USHINDI.
Hivi ndio.ukweli?
Mi nnachojua matokeo mi both +ve and -ve
Wafundisheni hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.