Leo Haji S. Manara amethibitisha hili lakini nimebaki najiuliza maswali kwa nini iwe hivyo?
Ni kweli mchakato wa mabadiliko wa simba ulikumbana na vikwazo vingi sana kutoka kwa wachambuzi na...
Simba wachaaawiiiiiii ,miaka minne hatuna ubingwa tuna stress sisi kila siku wachezaji wetu wazuri wanapata majeraha...hayo ni maneno ya LE GENERAL UTO MASTER UTOPOLO muanzilishi wa jina mujarabu...
Mambo ni faya mambo ni motooo jameni, Florent Ibenge baada ya kujiuzulu kazi pale AS Vita katua kwenye mpunga mnene huko Morocco na inasemekana katika wachezaji alioingia nao hapo klabuni ni Djuma...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na linalaani kitendo cha Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha Mwandishi wa Habari wa Radio Clouds FM, Prisca Kishamba...
Amini usiamini hiki ni kile kipindi ambacho makanjanja ya redio/tv na magazeti huwa yanawawapa raha za kufa mtu wana jangwani, raha huongezeka pia pale MITAMBO YA MAGOLI inaposhuka airport na...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM KUIMARISHA ULINZI UWANJA WA BENJAMINI...
Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati...
Wanariadha wa Namibia, Christine Mboma na Beatrice Masilingi wameondolewa katika mashindani ya mbio za Olimpiki za wanawake kutokana na kuwa na homoni nyingi za kiume
Wanariadha hao wamezaliwa...
Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan.
Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi...
Na Mwandishi Wetu,
Mikocheni-Dar es Salaam.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka usiku wa tarehe 01/07/2021 ameungana na watanzania wengi ambao ni wana...
wakuu hii michuano ya ndondo cup ndani ya Dar imekamilisha miaka nane sasa tangu kuanzishwa kwake 2014
Je, ni vipaji gani vimeibuliwa na mashidano hayo?
Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao.
Uzalendo sio kelele...
Mimi Binafsi nadhani huyu Hawa Mniga alikuwa mgombea wa Urais wa (TFF) avhunguzwe, Kwa nini achunguzwe.
Unaweza kusema huyu dada ndiye aliyezuia baadhi ya wagombea, kufanya wakose sifa ya...
1) Katiba yenu iko Kiingereza sio wajumbe wote wanajua Kiingereza, je wasiojua wanaielewaje?
2) Kamati yako feki ilifanikiwa kuwaingiza kadhaa nyuma yako ingawa mchezo ulikuwa mwanzoni kabisa...
Msije kusema hamkuambiwa maana baada ya mzee mpili kukutana na injinia hersi ofisini kwake na kupewa hela za kwenda kushughulikia majini ya huko ikwiriri mkadhani mmemaliza kumbe lile jamaa la...
Habari Tanzania!
Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na...
NILICHOANDIKA Kabla ya uchaguzi na nini kinaenda kutokea uchaguzi wa TFF ndicho kimefanyika.
Nilisema watapitishwa kadhaaa mwisho mtasikia ama wamejitoa /ama waliopita nae hawana vigezo ndicho...
Wasalaam,
Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa...
Shirikisho la Chama cha Soka la Uganda limemaliza Ligi Kuu ya 2020-21 na kutangaza Express FC kama mabingwa.
Fufa imelazimika kuchukua uamuzi kufuatia tangazo la hivi karibuni la Rais Yoweri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.