Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Kuna orodha ya baadhi ya wachezaji ambao wanatarijiwa kuacha a Simba SC. Miongoni mwa wachezaji hao ni wale ambao waliokuwa wakifanya vyema katika timu zao za hapo awali...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Ujanja Ujanja kwa maana nyingine ni UTAPELI. Hongereni sana Timu ya Wananchi, Dar Young Africans kwa kuvunja MKATABA wa Ndugu Djuma Shaaban na kumleta Jangwani. Hii ndiyo maana halisi ya...
22 Reactions
90 Replies
7K Views
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi. source: Click Hapa...
9 Reactions
210 Replies
43K Views
Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV. Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani? Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati...
2 Reactions
76 Replies
15K Views
Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Dau liongezeke basi maana Club imekua mara 3 ya pale ilipokua, na pia hio bilioni 20 kwa sasa si kitu, soka la Tz limekua saizi, si mnaona hata azam tu saizi wanatoa pesa kubwa mno kwajili ya haki...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Fainali hii inayofanyika katika Dimba la Wembley huko London, Uingereza inawaleta pamoja Italia inayoangalia namna ya kuongeza taji jingine la EURO baada ya ya miaka 53 na England inayoangazia...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasalaam, Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Chama cha Soka cha Ulaya (Uefa) kimeishtaki England baada ya mashabiki wake kummulika usoni kipa wa Denmark, Kasper Schmeichel kwa tochi yenye mwanga mkali wakati wa mechi ya nusu fainali ya...
2 Reactions
5 Replies
940 Views
Habari wadau..! Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Kati ya Italia na Uingereza nikiambiwa nichague nani atatwaa ndoo ya euro moja kwa moja ni uingereza nampa nafasi.
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Baadaaa ya yanga kupigwa faini Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho Hivyo basi...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Nimekuwa Nikiona Adhabu Nyingi Za Bodi Ya Ligi Tanzania (TPBL) Ni Kama za Kukoa Timu fulani. Hivi Ni Wakati gani ambapo Team Husika Inaitwa kujitetea Mbele ya Bodi Husika Kuhusu makosa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Sh3 milioni kwa makosa manne ikiwemo kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum. Pia imetakiwa kulipa Sh850,000...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Timu nzima walikua very humble, Focused Attention Walipambana kwa namna zoote Naamni wakibaki hivii mikia watalaumiana kila derby!! Let's wait tar 25!! #daima mbele............... #sportsalelt...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom