Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sasa hii imekuwa tabia au hulka, Tulipofungwa na UD SONGO mchezaji aliyetufunga akasajiliwa , leo tena Chikwende naye ndio kama mlivyosikia . Bado haijafahamika kama usajili huu ni pendekezo la...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwa kiwango chake, ufungaji wake, kazi yake, umakini wake na mchango wake kwa timu mchezaji mpya wa Aston Villa Ollie Watkins amedhihirisha kuwa mshambuliaji Mbwana Samatta hakuwa msaada wowote...
23 Reactions
77 Replies
8K Views
Ni Kitendo cha kusikitisha sana kimejiri leo kwenye Mkutano Mkuu wa Yanga ndani ya Ukumbi wa DYCCC Chang'ombe, kumzomea Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Wilfred Kidao...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Mzee Kikwete aliusifia uongozi wa akina Msolla kuwa anaongoza vizuri klabu ya Yanga. Je, hii ni kweli? Miaka 4 hujapata kombe lolote ispokuwa Mapinduzi Cup huo ni uongozi bora?
0 Reactions
7 Replies
743 Views
Ukiwasikia, ukiwasoma Wanayanga wakilikataa goal walilofungwa Azam ambao jana Captain wao alilikubali na kusema ni Uzembe wao. Unagundua wanayanga siyo Binadamu. Hawaujui mpira. Ndo maana huwa...
11 Reactions
11 Replies
1K Views
Tazama mwenyewe picha .. Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa.. Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Kumekucha yanga imetenga billion 7 kufanya usajili msimu ujao Pia wametenga mabilioni kujenga viwanja viwili vya mazoezi, wenye nyasi bandia na nyasi za kawaida Kigamboni. Timu ya wananchi hiyo...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
YALE maisha ya mtaani kwako uswahilini. Unaamka asubuhi unaenda kwa mama muuza chapati au maandazi. Kando yake ana mtoto wa kiume anayehangaika kufanya kazi hii na ile kumsaidia mama yake. Baadaye...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Timu ya Ureno chini ya nahodha Ronaldo itafanikiwa kutetea ubingwa wa mataifa ya Ulaya. Japo waliteleza kwa kujifunga mabao mawili dhidi ya Germany na yakawachanganya hadi kupoteza mechi hiyo...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana nilikuwa naangalia mechi ya ligi {VPL} kati ya Gwambina na Dodoma Jiji. Kilichonifadhaisha ni kitendo cha mchezaji {nadhani wa Gwambina} kuumia na kubebwa mzegamzega na mtu mmoja kutolewa...
1 Reactions
8 Replies
910 Views
Angalia hiyo na click hiyo picha chini uone clip itakayokuacha kinywa wazi kama ni mshamba! Refa hata hakuona mpira ulivyopigwa lakini aliuona ukiwa unatikisa nyavu na akaweka mpira kati! Sembuse...
1 Reactions
2 Replies
838 Views
Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza.. Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo.. Kaizer ameshatangulia...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Baadhi ya Vigogo waliohudhuria hawa hapa , yumo Jakaya Kikwete
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali. Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni mtangazaji gani anakuvutia zaidi anapotangaza mechi ya mpira wa miguu. Binafsi navutiwa sana na 1. Peter Drury "Spain on the plane, or Spain in the Russian rain "You've heard of...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Yanga ikianzisha mpira wa haraka na kujipatia goli. Wakifanya wao sawa,wakianzisha wengine sio goli. Hakika hawa ni Utopolo
1 Reactions
6 Replies
874 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…