Michuano ya Nusu Fainali ya Kombe Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), kukamilika kwa mchezo kupigwa leo Juni 26 2021, ambapo Mnyama Mkali Simba SC anatingishana na Wana lamba lamba...
Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison.huyu mchezaji ana kera sana.anakera mpaka mwisho.
Jana tena ametonesha kidonda kwa kusababisha faulo na...
Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato)
Na nikiri...
a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha...
After almost 20 years, Safari Rally Kenya returns to the World Rally Championship this weekend and the roads north of Nairobi are primed, ready, waiting and completely alien to today's rallying...
Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium
Timu ya Genk ndio timu aliyokuwa anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana...
MESSISTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME
73GOALS
43ASSISTS
146APPS
165 mins per goal
104 mins per goal contribution
RONALDOSTATS ALL TIME INTERNATIONALS ALL TIME
106GOALS
30ASSISTS
176APPS...
Mm ni mpenzi wa mpira sana,huwa nafuatilia michuano mbalimbali hata kama sitoiangalia kwenye TV huwa naangalia kwenye flash score yangu.
Kwa sasa kuna hii FIFA Arab cup inayoendelea huko...
wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui...
Timu ya soka ya Yanga imeifunga timu ya Biashara kwa BAO 1-0 na kufanikiwa kuingia fainali ya kombe la ASFC
Katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, bao la...
Naomba kujua hivi ni nini hasa kilichosababisha Manji kuacha kuifadhili yanga.
Maana kama hakuwepo nchini sio sababu yenye mashiko.
Najaribu kutafakari na sipati majibu maana aliiacha yanga...
Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni...
Habari ndio hiyo, sasa kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
Sheria hiyo iliyoanzishwa mwaka 1965 itaondolewa kuanzia msimu ujao kwenye mashindano ya UEFA ikiwemo Champions League.
Sheria...
Wakuu Shirikisho la Soka Tanzania (Tff) wamemalizana Na Aliekuwa M/kiti Wa Yanga Mwakalebela Kwa kumfutia adhabu zake Zote, Pia Kamati Hyo Imewaondolea Adhabu Wanachama wawili Wa Yanga, Kocha...
Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata...
Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business '
Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.