Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimekubali hujui thamani ya ulichonacho hadi kikiondoka. Mwinyi Zahera tulimfukuza kwa mbwembwe. Ila mpaka leo yanga haijapata mafanikio kuzidi ya mwinyi zahera japo alikaa mida...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi. Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa Yanga...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Kila siku nasema yanga inaonewa sana kwa kweli, imagine mshambuliaji hatari aliyemzidi hata Mohamed Salah kwa magoals kwenye kwalifikesheni za afcon anaonekana kituko Bongo. Kumbuka mtambo huo wa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
"Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kupitia Runinga leo nimetazama mechi ya Ruvu dhidi ya Yanga, Nilichokiona cha maana leo ni goli la Saido Ntibazonjiza "antibiotic akipiga free kick maridhawa kabisa, nikimtazama vizuri alijiamini...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wadau, Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Siyo kwamba nakejeli ila sema kweli Mwanahamisi huyu forward wa Simba Qeens ni bora kuliko Sapong wa Yanga kwenye ufungaji
7 Reactions
9 Replies
1K Views
☝ Expansion Joint ya Chuo kikuu cha DSM kama mnaikumbuka ndio mfano halisi wa mabeki wa Yanga . Bila Lamine Moro hawataweza kupata Clean sheet milele, unaweza kudhani Mwamnyeto ni beki bora...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine. Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana. Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo. =========== 21'...
2 Reactions
183 Replies
15K Views
" Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya ushindi wa leo wa goli 1 bila mbele ya Polisi TZ, na kufikisha pointi 70 , ni wazi kuwa Simba Sc wanahitaji point 6 tu yaani ushindi wa mechi 2 ili wawe mabingwa wa msimu huu VPL...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Keeper la zamani la yanga under 20 ama kwa hakika ni mchezaji ambaye kajiwekea historia mbovu kwa goli la ajabu alilohakikisha linaingia golini. Huyu hastahili tena kuonekana ligi kuu aende huko...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nangalia mechi ya azam na gwambina, vivuli vya wachezaji ni vingi mno, mchezaji mmoja anaweza kuwa na vivuli vinne, hii inahalibu ubora wa picha. Wakuu nyie mnaonaje au ni ushamba wangu
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kusajili wachezaji bila kuwepo kwa kocha mkuu, kuondoka kwa Zahera na makocha wengine, kuondoka Molinga, Yondani, Ngassa, Carlinhos, Lamine, Morrison, Mwakalebela na kusuasua kwa mabadiliko ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa marefa waliocheza Yanga u20 na mtibwa hawana weledi kabisa.lile goli haikuwa offside kabisa
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hili jina la taifa stars halina baraka kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Footballers with degrees: Kompany, Mata & 10 players who went to university | Goal.com Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima...
7 Reactions
142 Replies
14K Views
Back
Top Bottom