Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani; Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia...
6 Reactions
143 Replies
15K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua...
3 Reactions
116 Replies
10K Views
Tangu ilipokuwa inaitwa FAT chini ya mzee Ndolanga na bwana Rage mpaka leo hii kuwa TFF ya Jamal Malinzi, mimi kama mdau wa michezo hususani mchezo wa mpira wa miguu sijaona juhudi zozote za...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza...
7 Reactions
116 Replies
10K Views
Kwa kweli watu tumelimiss soka pilau kwa muda sasa, leo tutajikumbushia utamu wa soka pilau toka kwa wekjndu wa msimbazi!
2 Reactions
6 Replies
959 Views
Japo tunakupongeza lakini upande mwingine tunasikitika kua umewahi mno kuipiga hiyo free kick, hiyo iliwafaa sana wale jamaa...maana ungekua ni msumari muhimu mno...lakini bado hata hivyo ngoma...
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Tafadhali aambiwe upesi hizi ' Interviews ' zake alizozianza Jana (baada ya Kuchukua Fomu) na hii ya Leo ya Wasafi FM zitamponza. Aachane nazo mara moja kwa sasa.
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua channel yeyote inayoonesha mechi zote za EURO, kwenye king'amuzi cha Azam.
2 Reactions
67 Replies
11K Views
Wakuu At last Redemption and Apology imetoka kwa Mhusika. Its a good start. Tamko la klabu Jana lilikuwa Sahihi. Following Punishment haziepukiki.But it's life , we live, make mistakes and learn...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimemsikiliza ndugu yangu Ali mayai nimestuka kusikia Ali aliondolewa kwa kukosa udhamini. Hizi chaguzi zina vituko kweli yule mdada amefanikiwa wadhamini na Ali akose udhamini inawaingia...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika. Ndio...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dhambi za madeni hamna tofauti na uhujumu uchumi. Nimemsikia mchezaji wetu leo golikipa akiomba radhi. Alienimaliza na meneja wake bana jama amemaliza mkataba mpaka sasa awajakaa.Nae wanazingua...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe. Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari MWADUI VS MTIBWA Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom