Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana '...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
I declare Interest. Mimi ni Mwanayanga mpenzi wa mchezo wa Mpira wa Miguu. Nmemsikia Tarimba Abas akiwa Bungeni na pia akihojiwa na vyombo vya habari. Ukimwona Bwana Tarimba kabla hajaongea...
22 Reactions
12 Replies
3K Views
Katiba inaruhusu Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar kuwa Spika au Naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano? Kuna Spika au Naibu spika aliyewahi kutokea Zanzibar? Huko TFF Ally Saleh...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000. 1.Barthez 2.Lilian Thuram 3.Bixente Lizarazu 4.Laurent Blanc 5.Marcel...
14 Reactions
148 Replies
15K Views
Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Safi sana wazee wetu tuko nyuma yenu kwa hali na mali, mmefanya la maana kuwashtukia matapeli hao
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hizi ni timu za taifa za soka. Pana mtangazaji pale Clouds FM aitwae Lwambano, sijui utafiti huwa anaufanya vipi, yeye anaamini ligi ya England ndio inapendwa zaidi eti duniani na hii huwa...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke? Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu Focal point ya mpira wa Tanzania ni TFF. Sasa TFF wakiyumba/kupotoka huku chini kunakuwaje? Hizi sauti zilizojitokeza zinahitaji tathmini, zinahitaji muda kuzisikia, kuzichambua na kisha...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Nasikia kuna hii kitu hapa bongo. Nipeni connection.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kawaida kiongozi wa mpira wa miguu Tanzania anaendelea kuwaonesha njia wengine wafuate.
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Timu ya taifa ya Ujerumani ali maarufu kama Nationaelf(national eleven) au unaweza waita Die Mannschaft yani (the team) ni moja ya vigogo soka la ulaya kwenye ngazi ya mataifa ikiwa imewahi...
1 Reactions
2 Replies
758 Views
Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias [emoji1201] Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Nyodo, ngebe, dharau, majigambo, majivuno vinaweza kumpata asipojiangalia. Ngolo Kante mchezaji wa mpira mstaarabu na muungwana kuliko wote inaonekana sifa zimemjaa hadi...
11 Reactions
84 Replies
9K Views
Atleast jamaa zangu wapate cha kudunduliza. Yapata milioni kumi toka kwa waliochukua form za kugombea nafasi mbalimbali.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwanariadha wa kimataifa, atakaeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki Japan mwaka huu Alphonce Felix Simbu ameshinda mbio za BIMA Marathon 21K kwa muda wa (1:02:09), naye mwakilishi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom