Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni...
Washika mitutu wa kaskazini mwa London (Gunners ) wameanza mazungumzo na beki wao wa kushoto KIERAN TIERNEY juu ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga arsenal,ikumbukwe arsenal walimsajili...
Leo tutaje list ya wachezaji ambao walibeba 1. Balloo D' or 2.champions league
3.word cup.
Mima naanza na ronadihno gaucho haya twende kazi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kocha kishingo kipindi yuko simba alitamani sana kupata beki mrefu wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Ally Sonso ambaye shida yake ni mistakes nyingi, mwingine ni Abdi Banda...
Yanga msimu ujao watashiriki mashindano ya kimataifa na hii inatokana na SIMBA kufanya vizuri hivyo kuweza kuipatia nafasi yakushiriki Yanga..
Yanga ili kushiriki mashindano ya kimataifa ilikua ni...
FIKA Chamazi ukajionee uwekezaji wa Azam FC. Eneo la zaidi ya eka 25 lililosheheni miundombinu ya kumfanya Cristiano Ronaldo au Lionel Messi awe mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushinda...
Mambo vipi wanajangani?
Leo asubuhi nilikuwa pande za Kariba Lodge hapa mkabara na barabara ya Devland road, kusini kabisa ma jiji la Johannesburg.
Nikashangaa sana kumuona mtu mzima Eng. Hersi...
Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana!
Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi...
Football is for fans, Shabiki wa Yanga kindakindaki yuko tayari kuchukua fomu ya kugombea ujumbe pale TFF kesho au kesho kutwa.
Vijana tupeane sapoti, kijanja huyu msomi na mwenye mapenzi ya...
si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata...
Niwambie tu kwamba mnyonge m yongeni lakini haki yake mpeni.
Hivi Nani asiyejua kuwa kwenye utawala wa karia timu ya taifa ilifika Afcon? Nani asiyejua timu ya vijana na wanawake zimepanda chati...
Nimezipokea hizi 'Tetesi' kwa Furaha kubwa mno na kama itakuwa ni kweli kwani Edward Charles Manyama ni Beki Bora wa Pembeni anayecheza 'Kisasa' zaidi tena kuliko aliyeko Mohammed Hussein...
Mashindano ya uefa euro 2020 yanaanza kutimua vumbi leo ijumaa kwa mtanange mkali wa kundi A baina ya miamba TURKEY Vs ITALY majira ya saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki, je wewe...
Uongozi wa Rais wa sasa Karia umekuwa na mapungufu mengi sana katika soka la Tanzania hivyo ninakuomba Mhe. A. Tarimba uchukue fomu ya Urais ili uokoe jahazi hili la TFF linaloenda kuzama.
Mahakama Kuu ya Brazil imesema Michuano ya Copa America ambayo inatarajiwa kuanza Jumapili inaweza kuendelea Nchini humo licha ya janga la Corona.
Majaji wametoa uamuzi huo baada ya Mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.