Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ule mtambo wa mabao toka Burundi uliowapagawisha wana yanga ulipowasili nchini na kupokewa na rundo la mashabiki umeaga rasmi na kuacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa team hiyo inayokamata...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Sisi sote ni mashahidi jinsi wallace karia na TFF walivyokuwa wanawazuia kina yikpe,sarpong na wachezaji kadhaa nyota wa kigeni kufunga magoali na kusababisha wakose magoli ya wazi huku wakiwabeba...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
"TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court...
17 Reactions
37 Replies
4K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC Barbara amezipuuza ripoti zinazodai Simba imezidiwa ujanja na Azam kwa kumsajili beki Manyama kutokea Ruvu Shooting. Barbara amesema Simba haijawahi...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya...
5 Reactions
151 Replies
17K Views
Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Yeyeto anayejua tricks ya Virtual Betting aisee napigika mpaka najionea huruma
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee wa Yanga Sc wamesema hawautambui mchezo wao na Simba Sc ulipangwa kufanyika Julai 3 Wamesema mchezo wao ulishachezwa Mei 8, kama TFF wanafuata kanuni Simba Sc waporwe alama ili wapewe...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tuesday , 10th May , 2016 Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya wenyeji Ndanda FC na Yanga uliokuwa ufanyike Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara sasa utafanyika Uwanja wa Taifa jijini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni pambano la jana nafikiri na bondia wa Eastern Europe huko, jamani boxing ni mchezo wa kihuni sana, ona hiyo knock out ilivyolazimishwa.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi sasa ni aibu, Tokea kwa Kagere, Miquessone, Bwalya, Morrison hawa wote walianza maongezi na yanga kabla mkaingiliana bado hi juzi tu mlimtaka hata manyama mliposikia yanga wanaitaka sign yake...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Walaji wa kikapu DSTV hasa NBA, Tumebaguliwa sana maana michezo mingine inapatikana hata kifurushi cha chini kabisa. Lakini basketball inaanzia compact plus ambayo ni ghali sana. Tuamshe kampeni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana kulikuwa na mechi ya U20 kati ya Simba na Mwadui. Wakati wa mchezo huo mchezaji wa Mtibwa alianguka na kupoteza fahamu uwanjani. Kwa wenye taarifa halibya mchezaji huyo ikoje? Sambamba na...
1 Reactions
4 Replies
854 Views
Leo Jumapili Juni 13, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mkapa kutakuwa na mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wakiumana vilivyo na Timu ya Taifa ya Malawi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo Taifa Stars anacheza na Malawi saa 10:00 jioni katika dimba la Mkapa. Kiingilio 2000 kwa 5000 tu lakini mchezo huu haujapewa promo kabisa, ndio tuko bize na Euro au Uchaguzi wa TFF?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi ingekuaje hili tukio lakuanguka ghafla kwa mchezaji wa Denmark, lingetokea kwenye mechi ya simba na yanga?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bodi ya ligi (TPLB) imesema kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom iliyokuwa mdhamini wa ligi kuu imeacha hasara ya bilioni 2.5. Hiyo ni kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza masharti ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Anaandika @exaud_msaka_habari Kiukweli inawezekana Mkude ana mambo yake, ila baadhi ya sisi wanahabari na sisi tuna mambo yetu makubwa sana Leo kuna watu wamenitumia Vitu DM kuwa sjui mkude...
2 Reactions
0 Replies
878 Views
Hatujui ni kwasababu gani Karia anajivunia mafanikio ya soka yaliyopatikana wakati wa kipindi cha cha miaka 4. Binafsi sioni mafanikio ya soka kwenye kipindi chake zaidi ya Karia kuhakikisha kuwa...
15 Reactions
114 Replies
7K Views
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka ofisi za TFF , Hata hivyo kabla ya kukabidhiwa fomu yake Kubenea alilalamika kwamba kulikuwa na njama za kumchelewesha makusudi.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom