UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemsimamisha kipa wake, Metacha Mnata kutokana na utovu wa nidhamu alioufanya kwa mashabiki baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa jana usiku katika...
Kongole kwa wachezaji wetu,
Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda.
Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa...
Wagombea nafasi ya Urais Shirikisho la soka Nchini TFF wamekosa wadhamini.
Ni mgombea mmoja tu ambae amepata wadhamini ambaye ni Rais aliyemaliza muda wake Ndg Karia.
Kwa tafsiri hiyo nafasi ya...
Mshambuliaji wa DC Motema Pembe, Kadima Kabangu amesema anaamini mabingwa watarajiwa wa Tanzania Simba SC watamsaini.
Amesema ameshafanya mazungumzo na kocha wa Simba, Didier Gomes na...
Kabangu: Nikicheza na Chama, Luis Nitafunga Sana
MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya DR Congo, Kadima Kabangu, amesema ubora walionao viungo wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama na Luis...
"Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania . Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu...
Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa...
Christian Eriksen is unlikely to play football again and Italy may ban the Inter Milan player from competing again if he has suffered a cardiac arrest, according to a leading cardiologist.
The...
" Kinachoendelea Yanga SC na huu mkanganyiko kuhusu wao kucheza au kutocheza Mechi yao na Simba SC tarehe 3 July, 2021 ni Uthibitisho rasmi kuwa Yanga SC sasa imejaa Wahuni na inaongozwa Kihuni...
Mzuka wanajamvi!
Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi.
Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich...
" Ifike muda sasa tuambiane ukweli tafadhali. Yanga SC waache unafiki na kutaka Kuwahadaa Mashabiki wao kwani wameshakaa na Serikali pamoja na Simba SC na Kukubaliana tena hadi kwa Kusaini kuwa...
Tanzania ni muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Hilo halina ubishi kabisa. Pia ni kweli Zanzibar tunacho chama cha soka yaani ZFA.
ZFA ni mwanachama wa CECAFA NA CAF lakini...
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwenye vyombo vya habari , anadai amepokea Email kutoka Kamati ya Uchaguzi kwamba Amekatwa.
Ameahidi kutoa ufafanuzi zaidi baadaye kidogo
" Wasemaji wakuu Kikatiba na Kiutendaji ndani ya Yanga SC ni Mwenyekiti, Katibu au Kaimu na Msemaji kwa Maelekezo. Ninachojua Yanga SC itacheza Mechi zote ilizopangiwa na TFF na hayo maneno...
Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa...
Wazee wa busara wanawasha moto hatari, kuna kikao kipo underway hapo utopoloni wale wazee ambao juzi walisema hawatapeleka team uwanjani kucheza na simba hawataki kusikia lolote kuhusu mabadiliko...
Hawa watu wana mbinu nyingi sana za ku-survive katika mazingira yoyote kwenye nafasi zao.
Sakata la wazee wa Yanga unaeweza kufikiri viongozi hawajui. La hasha! Wanafahamu sana na ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.