Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dondosha utabiri wako kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa ulaya(2020-2021) Kati ya Chelsea na Man city itakayopigwa terehe 29 mwezi huu wa 5 katika dimba la Attaturk Olympic stadium huko...
4 Reactions
162 Replies
15K Views
habari mbaya kwetu wana simba, damn
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi ulipata kumsikia mchezaji aliyeitwa Michael Paul "Naylon"? Umeambiwa nini kuhusu yeye? Kama umesikia ama hujasikia lolote kuhusu yeye chukua hii. Michael Paul alikua fundi wa mpira hasa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakala wa mchezaji Bwalya raia wa Zambia anayekipiga Al Ahly ya Misri licha ya kukiri kwamba mchezaji wake hatakiwi Al Ahly amesema Simba hawawezi kumsajili mchezaji wake. Amedai kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu. Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende...
34 Reactions
134 Replies
10K Views
Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana nikiwa nasikiliza kipindi kimoja cha michezo nilishtuka sana, mmoja wagombea alilalamikia Hiki kipengele naamini viko vingi vya kubadilisha Kila mgombea anahitaji wadhamini si chini ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwangu mimi hanishawishi kabisa, yuko shalo sana kwenye content, nimeshindwa kumuelewa kabisa, yaani Clouds wamemuondoa Issa Maeda (mchambuzi uchwara) wamemleta Privaldinho (mchambuzi uchwara...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Natumai safari hii amejipanga vizuri baada ya kupapaswa mara ya mwisho alipogombea na Karia. Ningewashauri hawa wanamichezo wawe na mtu mmoja watakaemuunga mkono ili kumuongezea nguvu na...
0 Reactions
3 Replies
919 Views
1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea Tufike wakati tuseme imetosha Tuwe na viongozi wenye hekima na busara...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa michezo nchini wa kituo cha Radio EFM na TVE, Oscar Oscar leo Juni 9 2021 ameenda yalipo Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuchukua...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Wakala wa Jadon Sancho amekubaliana na uongozi wa Manchester United juu ya uhamisho wa mchezaji huyo kwenye dirisha la usajili majira haya ya kiangazi Sancho amekubali kujiunga na mashetani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiungo mzuiaji wa miamba ya soka ya London (Arsenal) Granit Xhaka amekubali kujiunga na miamba ya soka ya italia As roma chini ya kocha JOSE MOURINHO kwa mkataba wa miaka mitano kwa Ada...
1 Reactions
2 Replies
622 Views
Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Wale mliokuwa mnapopoma kwa domo kaya kuhusu mkataba wa Azam na TFF kwamba ni muda mrefu na pesa kiduchu tunaomba sasa mtumie fursa ya kufadhili Ligi kuu Bara japo kwa mwaka mmja ili tuone matunda...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Hapa ni kwa wale wajuzi wa mambo ya MARTRIAL ARTS. Nimedhamiria kuingia mazoezini kwa mwanangu mmoja hivi kwa ajili ya kupata mbili tatu kuhusiana na mchezo huu wa ngumi. Swali langu ni je...
3 Reactions
43 Replies
9K Views
Yaani hata ukimchezea rafu yeye hana muda wa kukulalamikia. Mimi naanza na Javier Zanetti aliyekuwa nahodha wa Inter Milan. Jamaa ni mstaarabu sana.
9 Reactions
235 Replies
21K Views
hii ni hadi 23 may 2021 nahisi caf wamesahau kuweka kombe la mapinduzi tukufu
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Kiungo mshambuliaji wa miamba ya soka ya kaskazini mwa London (arsenal ) Emile smith Rowe yupo katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia miamba hiyo ya soka...
1 Reactions
2 Replies
552 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…