Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hizi ni dalili za Mkude kuachwa
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu mambo ni nini? Hivi inakuaje bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inadhaminiwa na mtandao namba moja wa simu TZ yaani Vodacom apate Tsh 80m wakati mshindi wa Ndondo Cup yeye anavuta Tsh...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu Mtu hata mechi ikiwa mbaya, huwa anaifanya inakuwa nzuri! Yaani kuna kipaji na Elimu, sasa huyu vyote anatumia.... Aliemuajiri AZAM kongole kwake! ........ Hili ni goli la Simba vs...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu, Leo alfajili kulikuwa pambano la Mayweather na Logan limechezwa leo kwa idadi ya round 8, na hakukuwa na mshindi, ni kama ilikuwa ni exhibition match tu. Makubaliano ya pambano lao...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
"Sir Alex Ferguson kwenye Kanuni zake 9 kuhusu Nidhamu naomba nimnukuu kanuni namba 4, "Never ever, cede control" usikubali kupoteza Mamlaka yako mbele ya wachezaji" "Kupitia hii Roy Keane...
12 Reactions
27 Replies
4K Views
Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe Goo Simba Goo Goo Mo Dewji Goo
7 Reactions
35 Replies
6K Views
1.Mbwana samata - 26 halisi 30 2. Simon msuva - 25 halisi 28 3. Ulimwengu -26 halisi 28 4. Ibrahim ajib -22 halisi 31 5. Jogn bocco -29 halisi 34 6. Farid mussa - 22 halisi 27 7. Himid mao -26...
11 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu wa jukwaa, leo tukumbushane wanasoka wakorofi katika mchezo wa kabumbu. Wanaweza wakawa na vipaji vya hali ya juu lakini bado wana tabia za ukorofi, ubabe kama sio utukutu yaani kadi...
5 Reactions
150 Replies
20K Views
Tarehe 18/07/2013 Uongozi wa Rais Leodegar Tenga na Katibu Mkuu Angetile Osiah kwenye Kanuni za Uchaguzi za 2013 waliongeza kipengele cha sifa za Mgombea Urais na Makamu wake kuwa na elimu ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wa kwanza in huyu, naomba muongeze wengine 1. Mohammed Banka
2 Reactions
70 Replies
13K Views
Kwa kipindi cha miaka kama miwili hivi mchezo wa ngumi ulionekana kurudi kwa kasi na kuanza kufuatiliwa na watanzania wengi kama ilivyokuwa huko nyuma enzi za kina Rashid Matumla. Hii ilichochewa...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Ngolo Kante ameamua kuwajibu watu baada ya kuwa wakisema yeye ni humble kuliko watu wote namnukuu "Ni kweli kuna muda mwingine huwa kuna hii picha kwamba mimi ni mtu wa pekee sana na mtu mzuri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Habarini. Nimeona Na Kushangazwa na Uwanja Wa Lake Tanganyika Kigoma Ambao utatumia katika Fainali za ASFC, Huu sio Uwanja wa Mpira na Pori na Mapagale Ya Uwanja. Sifikiri wala sioni huu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Yanga bado ananaafasi kubwa ya kushinda ligi kuliko team nyingi zote.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Naangalia mchezo wa kirafiki Azam na Coast Union. Pamoja na burudani hiyo ninashangazwa na ubora wa uwanja, hasa eneo la kuchezea. Nalinganisha ninachokiona na hali za viwanja kama Mkwakwani...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia. Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake! Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
MABAO ndiyo yanayoleta ushindi kwenye mchezo wa soka. Ukizungumzia ufungaji wa mabao, wachezaji wakubwa wamefanya hivyo wakiwa na jezi namba tisa. Kiutamaduni, jezi namba tisa ndiyo inayohusika...
7 Reactions
22 Replies
7K Views
" Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri...
9 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…