Bocco goli 13.
Kagere goli 11.
Mugalu goli 10.
Bado ligi haijaisha, tarehe 3 July utopolo msilete timu uwanjani singizieni mmewapima wachezaji wenu wote wamekutwa na Corona.
Mkisingizia pesa...
Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.
Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pambano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha...
Kutokana na janga la covid kuendelea kusumbua sekta mbalimbali hata mwaka huu kwa wapenzi wa NBA mechi zitakuwa chache kulinganisha na misimu iliyopita
Tupeane news and updates kwa msibu huu...
sote tunajua Morrison akifanya kitu lazima update ya CAS ije maana pale utopoloni hakuna cha wakili msomi,engineer,tajiri mwenye mijengo na ma lorry ya kufa mtu wote akili zao kama za Bumbuli au...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Juni 3, 2021 ambapo Ruvu Shooting wanawakabili na Simba SC kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Simba SC anaingia kwenye dimba...
Nimeshangazwa na uongozi wa timu ya Simba kunyamazia suala la wao kushutumiwa kupulizia dawa kwenye chumba walichopangiwa Dodoma FC hapo jana.Hii ni ishara ya dharau ya wazi kwa wachezaji wa...
Watu weweeeeee watu utoooooo people sema utooopoloooooooooooo,dadeki hatari sana hawa watu yaani ile mechi ilihairishwa na wizara inayoongozwa na mwanachama wao waziri bashungwa lakini lawama zote...
haya hayaaaaaa fayaaa fayaaaaaa makanjanja hata kumchimba wema sepetu mmeshindwa? mlewesheni basi pombe kali awamwagie ma story ya mzungu kukimbia huko utopoloni?
Oh I forgot issues za utopolo...
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa...
Patashika ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) linapigwa leo Mei 1, 2021 kwenye Uwanja wa Mkapa, ambapo Mabingwa Watetezi, Simba SC wanakwaruzana na Kagera Sugar katika mchezo wa hatua ya...
Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI...
2018: Morata was at Chelsea when Atletico Madrid won the Europa League.
2019: Morata was at Atletico Madrid when Chelsea won the Europa League
2021: Morata is at Juventus who loses Serie A after...
LONDON ,ENGLAND.
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Tammy Abraham amepewa jezi namba 9 ya klabu hiyo akiirithi kutoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Gonzalo Higuain.
Kwa sasa jezi hiyo...
Huyu jamaa kwa jinsi alovyoondoka ni dhahiri yuko kwenye vita vikali sana na Simba vikiendeshwa chini chini.
Hata msishangae sana kile kipigo south Africa alihusika katika kutengeneza fitna...
Pluijm amtetea Kerr
Wakati kocha Yanga, Hans Pluijm akiituhumu Simba kufanya uamuzi wa kukurupuka kumfukuza Dylan
Kocha wa Yanga, Han Pluijm (kushoto) akizungumza na aliyekuwa kocha wa Simba...
Kuelekea mtanange wa kukata na shoka leo jioni kati ya Azam F.C na Mnyama.. Yule Kocha bora kabisa kwa sasa katika VPL, Dylan Kerr, mmiliki wa tuzo kibao za ukocha na kipindi anasakata kabumbu...
Nafasi ya 'katibu mkuu' yaani Afisa mtendaji mkuu (CEO) wa Simba kwa sasa iko wazi mara baada ya aliyekuwepo awali kujiuzuru ghafla.
Huu ndio wakati muafaka wa Simba sc kumpa hiyo nafasi Paul...
Akitokea Tumbaku ya Mororgoro na kujiunga na Dar Young African miaka ya 1974 na kuendelea mchezaji huyu nguli Juma Matokeyo semeni mtamlinganisha na mchezaji gani wa sasa duniani watu ambao...
Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.