Kocha carlo ancelotti ameondoka EVERTON FC ya nchini uingereza na kujiunga na miamba ya soka ya nchini uhispania REAL MADRID mkataba umesainiwa mpaka mwaka 2024.
===
REAL MADRID YAMTANGAZA...
Kocha wa timu ya Geita Gold, Fred Felix Minziro amewakanusha watu wote wanaosambaza video inayojaribu kuwashawishi washabiki waamini kwamba Rais wa TFF ana chuki naye na kwamba aliukwepa kwa...
Mchezaji wa Inter Milan ambaye ni beki matata Vidal wiki iliyopita alipata chanjo ya kuzuia kupata ugonjwa wa Corona, lakini cha kushangaza wiki moja baadae amepimwa na kukutwa ameambukizwa virusi...
Wakuu Habari,
Naona sasa kila msemaji wa club 3 za juu kwenye ligi kuu tanzania bara anasema kuwa timu yake ina nafasi ya kubeba ubingwa, nafikirii hii inakuja kwasababu hadi sasa hakuna timu...
Bulembo,mzee mustaafu mwenye hekima zake ameapa kupeleka shauli mahakamani kuishtaki TFF ili iondoe kipengele cha lazima uwe na elimu ya Shahada ama degree ndipo uruhusiwe kugombea Urais na u...
SportPesa yaipatia Simba SC [emoji1241] hundi ya Shilingi million hamsini (Tsh50000000) za kitanzania kama pongezi kwa kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa Africa msimu wa...
Kocha wa Los Blancos (Real Madrid) ameamua kuachana na timu hiyo rasmi baada ya kuwa na tetesi za muda mrefu. Klabu ya Real Madrid itatoa taarifa rasmi kuhusu kuondoka kwa Zidane.
Zidane msimu...
Baada ya kumaliza msimu (2020 /2021) bila kombe na kupoteza mchezo wa fainali, jumatano 26 mei 2021 dhidi ya Villareal; Manchester United inategemea kumwongezea Koche Ole Gunnar mkataba wa miaka...
Ole Gunnar ni kama hafanyi vizuri ndani ya Manchester United lakini Viongozi juzi wameanza mazungumzo nae juu ya mkataba mpya, ni kama inashangaza sana si ndio?
Mikel Arteta ni kama hafanyi...
Akiwa kaichezea Bayern Munich mechi 448, magoli 47, pasi za mwisho 35 na kubeba makombe 27, beki huyo wa kati amesaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na klabu ya Real Madrid. Alaba [emoji1037]...
Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila...
Kwa jina la Muumba na kwa upendo JMTanzania.
Mwarabu huyu ametuonesha uzalendo na upendo wa dhati kwa Taifa letu adhimu.
WanaMichezo na wanaHabari na wadau wengi watafaidika kwa njia mbalimbali...
Mwezi feb 1932 katika eneo la milan italia alizaliwa Casare Maldini, career yake ilikua ni kusakata kabumbu ambapo alicheza nafasi ya ulinzi .
Mwaka 1954- 1966 alichezea club ya AC Milan akicheza...
Habari.
Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:
Leg 1.
27 April 2021 Tuesday
Paris Saint Germain Vs Manchester City
Real Madrid Vs Chelsea
Leg 2.
04...
Kwenye kampeni suala la mchezo ulisema utaisimamia ilani CCM kuhusu mambo ya viwanja vya wazi visiporwe, maeneo ya kucheza watoto na kadhalika!
Ajabu sasa umesikika mjengoni unaongelea mambo ya...
Mosi, MKATABA umetolewa kwa muktadha wa UZOEFU na sio katika TARATIBU za Manunuzi ya Umma. Mathalani, tukiangalia Ligi ya South Africa, duration ya MKATABA inakuwa ni kati ya miaka miwili hadi...
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda...
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna tukio linaonyesha mwamuzi akiungana na benchi la ufundi la Namungo kushangilia goli ambalo Steve Nzigamasabo wa Namungo aliitanguliza timu yake mbele. Bila shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.