Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi kweli huyu dogo wa 95 ambaye hata Wikipedia inamtambua kama You Tuber ndo wa kuweza kumshinda Legendari Mayweather? Kweli duniani inaenda kasi sana. Ngoja tusubiri japo nimefatilia baadhi ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu ni beki wa AS VITA eti kasajiliwa na Yanga. Shida kuu kwa timu ya yanga sasa hivi ni safu ya ushambuliaji ndiyo ipo butu, anatakiwa kusajiliwa straiker mwenye uwezo wa kupiga miguu yote na...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Tweet mbali mbali wasemavyo watu kuhusu the magician ,le general ,the shy and humble human being down to earth ,ustaadh N'golo Kante
3 Reactions
15 Replies
2K Views
19.05.21 CAS 2020/A/7510 Daniel Kinyua Wanjiru v. World Athletics CAS 2020/A/7239 Shabab Al Ahli Dubai Club v. Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata CAS 2020/A/7261 Mauro Alberto Díaz...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mjionee, utopolo mtasubiri sana. Kwa hali hii Simba itautawala kwa muda mrefu sana mpira wa Tanzania.
4 Reactions
8 Replies
2K Views
This is special thread for all football best fans News and rumors around the earth. Kwa habari za kambumbu na tetesi za usajili kutoka kote ulimwenguni.Pitia hapa. MySoka
2 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni baada ya uongozi kumjulisha kwamba hautamuongezea mkataba wake unaoisha mwishoni wa msimu huu. Kahata amewashukuru wanachama, viongozi na mashabiki wa Simba SC kwa kukaa nae kwa upendo muda...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi...
7 Reactions
36 Replies
5K Views
Viongozi Yanga na Engineer Hersi wamefeli ahadi zao za kuipa ubingwa yanga...lakini GSM haijafeli kwa ahadi zake za kuipatia pesa Yanga...nianze kwa kusema Yanga ni timu iliyo na nguvu kubwa ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
StarTimes wamesema watakuwa live kwenye michuano ya Euro2020,ambayo itaanza tar 11,june 2021 hadi July 11 2021, je, kifurushi cha nyota, Uhuru au Mambo? anayejua anisaidie.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajuzi wa mambo, kuna huyu kocha mkongwe muargentina ninaemkubali sana anafahamika kama Marcelo Bielsa ambae kwasasa anafundisha pale Leeds Utd. Navutiwa sana na style yake ya soka la pasi nyingi...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Golikipa wa timu ya Ajax ya nchini Uholanzi anakaribia kujiunga na washika mitutu wa jiji la London ARSENAL. Taarifa za kuaminika kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo CHARLES WATTS zinasema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Logo ya mdhamini wa ligi ni nyekundu ila Yanga walilegezewa kwa kuweka logo nyeusi ambayo sio halisi. Vodacom na TFF wanasema msimu ujao ni kwenda na kanuni tu na kwa kuanza ni logo halisi ya...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Hiki ndio kikosi (pichani) cha wachezaji 26 wa Uingereza [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 watakaoshiriki michuano ya Euro 2020 itakayofanyika mwaka huu 2021,11 juni hadi 11 julai 2021. Wachezaji saba waliotemwa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu viongozi,kwa heshima na taadhima tunaomba timu ije uwanjani tucheze na watani.Hizi figisu za kusema mechi imeisha tarehe 08 hazipo sawa,siyo kiushabiki,mpira burudani kutochezwa mechi ni...
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli. Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni. Haramu huliwa na haramu Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO...
8 Reactions
64 Replies
6K Views
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro Afrika Kusini imeingia ushirikiano na Clouds Media Group na Shadaka Sports Management wa kuidhamini michuano ya Ndondo Cup 2021 kwa kutoa jezi kwa timu zote...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…