Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya...
16 Reactions
322 Replies
32K Views
Imekuwa ni muda mrefu sasa hatujakuona ukicheza katika timu yetu pendwa na tatizo sijui nini. Myself nai-miss sana ile mikwaju yako ya mbali ambayo katika timu yetu hiyo ni speciality yako tu na...
0 Reactions
8 Replies
898 Views
Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa! Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku...
1 Reactions
12 Replies
976 Views
Katika mechi ya Simba vs Dodoma Jiji, timu ya Simba ilipiga jumla ya pasi 873 na kati ya hizo, pasi 730 zilifika zilikopangwa kwenda. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Anwar Binda wa Wasafi FM wakati...
9 Reactions
23 Replies
7K Views
Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei...
2 Reactions
4 Replies
924 Views
Leo asubuhi klabu ya Juventus imefikia makubaliano ya mdomo na Kocha Massimilliano Allegri kuinoa Juventus. Muda so mrefu atasaini mkataba na klabu hio itatangaza rasmi. Andrea Pirlo rasmi...
2 Reactions
3 Replies
860 Views
KUHUSU RANKING Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Erling Haaland ampiku Robert Lewandowski katika tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwenye bundesliga. Ingawaje Lewandowski kuwa na msimu mzuri kwa kuvunja record ya Gerd Muller (magoli 41 kwa msimu)...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari. Muda huu ni saa 02:15 usiku ila naona notification ya Simon Msuva kutupia goal lake dakika ya 39 ya mchezo kwa timu yake ya Wydad Casablanca. Simon Msuva a.k.a 'kibaba' naona anaendelea...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Awali nilikuwa najiuliza kuwa kama hawa ndio wazungu na ndio inaaminika wao ni binadamu wenye akili kutuzidi! Inakuaje wanashindwa kuona vitu ambavyo viko wazi kabisa kwenye football!? Vitu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ilikuwa Februari, 6, 1958, Timu ya Manchester United ilikuwa ikitokea Belgrade, kucheza na timu ya Red Star. Manchester ilikuwa chini ya Kocha Matt Busby; wachezaji wake walijulikana kama "Busby...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Kikao cha Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika leo jijini Dar kikiongozwa na Rais wa TFF, Wallace Karia kimepitisha rasmi Uchaguzi mkuu wa TFF...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya majuzi Azam kupata haki ya kuonyesha VPL kwa mkataba wa miaka kumi walitamka na kiasi kitakacholipwa klabu zote shiriki Kilichokuja nistua na kuniuma nilipokuja sikia kipindi cha michezo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Maajabu Yanga, kanuni na Kamati ya Saa 72 BILA shaka umeshawahi kusikia Yanga Kampuni na Yanga Asili. Lakini utakuwa umewahi kusikia kuhusu Yanga Katiba na Yanga Ukuta. Hayo ni makundi yaliyowahi...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo 114,272,966.78 USD kwa miaka 10 97,284,020.03 USD baada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Intelijensia yangu inaniambia uongozi wa Yanga umeanza chokochoko za kukataa kucheza July 3. Wameanza kuwatumia vijana wa mitandao na wachambuzi takataka kutuma ujumbe wao. Tunaomba Simba iongee...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Sasa hapa nchini Tanzania imekuwa ni kawaida Timu yoyote ile ya VPL ikija kucheza na Simba SC uwanja wa Mkapa na ikifingwa tu Kihalali (Kimchezo) itasingizia kuwa walipuliziwa Dawa Vyumbani...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha...
5 Reactions
54 Replies
7K Views
OGS nakuombea kila la heri leo maana kwenye GROUP letu la WhatasApp watu wamesha andika MAKALA YA UDHAHIFU WAKO, MAKOSA YAKO, CV YAKO kwakifupi MISHALE IPO KWAKO wanasubiri UTELEZE TU uweze kujua...
1 Reactions
6 Replies
881 Views
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha...
11 Reactions
157 Replies
10K Views
Back
Top Bottom