Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

" Kwa Kikosi hiki cha Simba SC kilichoishia hatua ya Robo Fainali juzi na jinsi kilivyo Imara na Wachezaji mahiri hakuna Mchezaji yoyote wa Yanga SC hii ya sasa anayeweza si tu Kucheza bali hata...
10 Reactions
47 Replies
7K Views
Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje. Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
17 Reactions
133 Replies
18K Views
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl. Naamini thamani ya klabu za mpira...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
TWFA CHAIOMBA SERIKALI KUSIMAMIA UCHAGUZI Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA) kimeiomba Serikali kuingilia kati usimamizi wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho unataofanyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haijatimia mwezi tokea Kocha Antonio Conte (51) achukue ubingwa wa Serie A. Huu ulikua msimu wake wa pili kuifundisha timu hiyo iliyo chukua ubingwa kwa mara ya kwanza tokea 2010. Kuwepo kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mchezo waliouonyesha Yanga dhidi ya Mwadui imeonyesha kwa kweli Yanga bado sana. Naishauri Klabu ya Yanga isajili wachezaji wenye...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Simba hawajapoteza mchezo kwenye Mechi 13 za mwisho za CAF Champions league wakiwa kwenye uwanja wa Mkapa tangu 2018. [emoji3581] Simba 4-1 Mbabane [emoji3581] Simba 3-1 Nkana [emoji3581] Simba...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika nyanja ya kandanda kwa kiwango cha vilabu vya mpira ulimwenguni, bara la Ulaya linaongoza kwa umaarufu likipambwa na ligi 5 bora kutoka mataifa 5 ya Uingereza, Ujerumani, Uitaliano...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba. Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari kama hizi makanjanja huwa wanazikaushia hapo lazima uwasifu mafioso wa utopoloni kwa jinsi walivyoweza kulifanikisha hilo. Hao jamaa ni bora wa discuss tweets za Mo Dewji kwa lisaa limoja...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Yule striker wa Kaizer Chiefs aliewafunga Simba goli mbili peke yake timu yake ikiibuka na ushindi wa magoli manne, amekisifu kikosi cha Simba SC kwa kandanda safi waliloonesha kwenye mchezo wa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
UEFA have opened 'disciplinary proceedings' against Real Madrid, Barcelona and Juventus for their part in leading the European Super League project. Hawa ndiyo machampion pekee waliobakia na...
2 Reactions
1 Replies
707 Views
Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na...
16 Reactions
102 Replies
6K Views
"Kama Mchezaji wa Simba SC nimesikitishwa sana na Kauli za huyu Patrick Gakumba kuhusu Mimi na Uhusiano wangu na Kocha Gomez " "Nikiri tu kwamba namjua Patrick Gakumba ila nashangaa ni kwanini...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii. Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hatimaye yametimia! Ongezeko la timu nne kushiriki mashindano ya CAF msimu ujayo yamekuja baada ya mafanikio ya SIMBA SC kufanikiwa kufika robo final licha ya kutolewa na Kaizer Chiefs ya South...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022. Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
17 Reactions
52 Replies
4K Views
Back
Top Bottom