Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez Hakuwai...
22 Reactions
172 Replies
18K Views
Haiwezekani damu imetolewa na pia uhai umetoka lakini ameshindwa kutupeleka mbele.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari. Nimewaza hapa haraka haraka hizi kelele za hawa wanamsimbazi/wamatopeni siku ya kesho wakiweza kupindua meza? Sijui ujasiri wameutoa wapi pamoja na kipigo cha mbwa koko ila bado wana...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Leo ndio Leo Barcelona na Madrid wanaukosa ubingwa tena baada ya miaka mingi Gemu bora na nzuri imeanza tuifatilie live hapa.
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa '...
14 Reactions
118 Replies
9K Views
Ni half time sasa hivi. Atlético madrid 0 kibonde Valadollid 1. Ni mechi ya mwisho msimu huu wa la liga. Ushindi ni lazima kwa Atlético watwae ubingwa. Real Madrid nayo iko half time ikiwa goli...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Naaaaaaam Barabara kabisa... Karibuni wapendwa wanamichezo katika mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Kaizer chiefs ya Afrika Kusini, mechi hii ni ya mkondo wa pili...
22 Reactions
609 Replies
46K Views
Tuwape pongezi simba kwa goli tatu bila lakini najiuliza nini kiliwakuta wageni kuwa wazito kupitiliza? Yaani hata kwa macho tu imeshangaza sana.
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Wadau salam, Naomba wajuvi watujulishe kwa maendeleo ya kesi ya Morrison na Yanga huko CAS yakoje kwani ilielezwa march hii itatoka ratiba ya vikao na jaji alishateuliwa huo ni upande wa Yanga na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wanaojua historia ya kandanda yetu hasa Simba na Yanga watakumbuka michezo ya akina Murtaza Dewji wa Pan African, Abbas Gulamali wa Yanga na Azim Dewji wa Simba. Hawa Simba waliocheza robo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pamoja na KUTOLEWA, Simba imecheza Classic Game. CONGRATULATIONS.[emoji322][emoji898] MAPENDEKEZO 1. Gomes ni Kocha Mzuri, Simba iendelee nae. 2. Nadhani Simba itafute Forward mwenye UWEZO na...
30 Reactions
88 Replies
7K Views
Natoa pongezi Kwa timu zangu tatu kwa kuwa mabingwa msimu huu 20/21. Timu hizo ni: Man. City------EPL. Atletico---------La Liga. Simba------------VPL.( UTO hawapindui meza). SIMBA SPORTS...
3 Reactions
10 Replies
880 Views
Wakati Eibar wanapanda daraja kushiriki La Liga 2014, Atletico Madrid walikuwa mabingwa wa Hispania. Miaka saba baadaye, 2021, Eibar wameshuka daraja, Atletico wametwaa tena ubingwa. Unaweza...
15 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama ukipata nafasi ya kumshauri kocha wa simba kiufundi je nani aanze kwenye first eleven Kati ya Kagere na Mugalu ungempendekeza nani? Mana kuna mijadala Mingi inaendelea kwamba Mugalu kazi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh. Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani...
13 Reactions
138 Replies
9K Views
Kwanza nianze kwa Kuipongeza Simba SC kwa Kufa Kiume kwa leo nayo Kushinda Goli 3 kwa 0 japo tumetolewa kwa Kanuni ila hatujafungwa bali wote tumeshinda katika nchi zetu. Hata hivyo kwa Maoni...
19 Reactions
49 Replies
4K Views
This is what actually Kaizer Chiefs have just done to Simba. Wame waachia Simba washinde pambano (battle) whilst wao Kaizer Chief wameshinda Vita (war) However hongereni sana watani kwa ushindi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza kabisa kilichopo mezani ni kuwa Simba sc imetolewa kwenye Mashindano. hakuna njia nyingine ya ku justify simba's elimination in #CafCL lakini kuna mambo machache yametokea baada ya mechi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
15 min. MC Alger 0-0 Wydad Casablanca Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom