Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Akiongea leo asubuhi katika kipindi cha michezo cha Efm, mchambuzi nguli wa mpira Jeff Lea asema kwa safu ile ya ulinzi wa Simba dhidi ya Dodoma Jiji jana, mabeki wao wameonesha udhaifu mkubwa...
11 Reactions
147 Replies
18K Views
Nina uhakika hata Kaizaer Chiefs wenyewe hawaamini leo kama wamepona! Simba wana tumia nafasi chache sana kua Goli. hii ni kasumba ambayo haija anza leo wala jana ina msimu zaidi ya miwili...
3 Reactions
15 Replies
932 Views
Habari! Nimerudi tena baada ya kimya kirefu juu ya chambuzi za soccer, twende pamoja. Hadi sasa ni hatua ya robo fainali ya CAFCL ambapo timu nane bora ndio zimebaki hadi sasa ambazo ni Wydad...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Mbio za ubingwa la liga zinaendelea kila team imebakiza match moja
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Wanasimba tuendelee kujipongeza goli moja hilo tusiumie sana shida hawa wanaongea sana waweke akiba mwakani watapenya kweli? Jifunzeni mpira kwa simba msijetolewa mapema au mtasusa kwenda. Timu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
This is Simba. Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu. Serikali ikemee vikali tabia hizi
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Yanga mmeapa kumuenzi Hayati lazima mchukue kombe ligi kuu sasa mbona hii kauli imekuwaje tena? Clouds Tv hapa. Wanena NDOTO ZA UBINGWA ZAYEYUKA YANGA.
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu. Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo. Nilizonazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Uzi huu ni kwaajili ya marafiki wa Kaizer Chiefs ambao tumekuja Tanzania kwaajili ya kuisapoti timu yetu ili iweze kuibuka na ushindi kesho jumamosi. Mnakaribishwa sana wote ambao ni Friends of...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari. Jeff Lea mchambuzi wa Efm kwenye kipindi cha Sports HQ leo, ameendelea kuzungumza vyema kuhusu Simba Sc juu ya mechi ya marudiano hapa kwa mkapa kwa kusema "Anaona kuna remix inaweza...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza kuzaa matunda. Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Muda unasonga sana magoli yanakaribia kujaa kikapu.Wengi wanasema Kaizer waliloga kwao hivyo Simba lazima walipize kwa Mkapa.Msemaji wao ameenda mbali zaidi na kusema kesho mtu anakula mkono as is...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Hawa Simba yaani bila kupepesa macho kwenye akili zao wanaamini kabisa kesho watapindua meza na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Come...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Wadau habari zenu! Naomba utaratibu au mwongozo wa namna ya kuanzisha club ya mpira wa miguu nchini kwetu
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amepoteza pambano lake dhidi ya Pavel Silyagin lililopiganwa Moscow, Urusi wakiwa wanawania mkanad wa Asian Pacific mkanda wa WBO ambapo alishindwa kwa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Huyu jamaa anaitwa Saheed Adebayo Akinfenwa raia wa England kwasasa anakipiga katika klabu ya Wycombe Wanderers inayoshiriki ligi daraja la kwanza Uingereza akicheza Kama striker Kwasasa anamiaka...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni vema mkalijua hilo mapema
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom