Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ligi yetu. Ukiangalia Chelsea kacheza Jumamosi na Jana iumanne kacheza why Simba tunawekwa ubwete sana. Niwaambie viongozi wa Simba kama wanaona...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama mtanzania mpenda utaifa Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo. Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha. Otherwise...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun...
3 Reactions
7 Replies
734 Views
GABRIEL GERALD GEAY AVUNJA REKODI YA TAIFA Huko Milano , Italy na kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki (Japan) kwa kukimbia kwa Muda wa saa mbili dakika nne na sekunde hamsini na tano...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana. Pia amewatahadharisha...
15 Reactions
35 Replies
5K Views
Katika miaka ya karibuni, Simba SC imekuwa ni klabu ambayo ilikuwa ikiwakilisha taifa letu kwenye michuano ya kimataifa-ngazi ya klabu bingwa Afrika. Pamoja na kuwa rekodi nzuri katika uwanja wa...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii timu inaendeshwa kwa imani za kishirikina sana, kama ndondo tu. Sasa unajiuliza hii ndio timu iliyosimamia kanuni mpaka ikagoma kuingiza timu dhidi ya Simba kikanuni. Uko wapi msimamo wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza niweke bayana mimi ni mshabiki (sio mpenzi) wa Simba Sports Club, mabingwa wa nchi. Kutokana na kushabikia klabu yetu pendwa, nimejikuta nikamfuatilia (follow) Mwenyekiti wa Bodi ya Simba...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Haiwezekan matches za Simba na title contenders ziwekwe kwa mazingira haya! Huu ni uhuni!
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
a) Kuipa Yanga SC muda mrefu wa Kujiandaa kwakuwa Kocha wao bado ni Mgeni na wasije Wakafungwa Kikatili na Simba SC. b) Kuihujumu Simba SC hasa Kimapato kutokana na kwamba Kimahesabu hadi tarehe...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo...
31 Reactions
106 Replies
10K Views
Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu Habari zilizopo ni Kwamba Haji Manara alizimia Mara 2 Huko HOTELINI SA Baada ya kipigo Cha Goli 4 Kavu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787].
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Bondia Hassan Mwakinyo anatarajiwa kupigana na Bondia wa Zimbabwe Brendon Denes, kuwania Mkanda wa WBC Afican Boxing Union (ABU) uzito wa Super welterweight May 28 mwaka huu, katika ukumbi wa Next...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Hizo goal 4 watakazo zipata mbele kuna Giza sijajua linamaanisha nini kwny huu utabir wangu. Hata mwisho wa mechi bado sijaona nini kitatokea kila nikipiga hesabu za Mizimwi yangu hapa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KAZIER CHIEFS 4 – 0 SIMBA: GAVIN HUNT’S 5-2-3 BAMBOOZLES GOMEZ Once in a while you watch a match that is tactically fascinating that its tactical lessons stick with you for a lifetime. This was...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kabla ya yote niseme tu mimi binafsi sina ushabiki wa usimba wala uyanga nimeamua kuandika ki michezo tu nikiwa mdau wa mchezo. Kwahiyo mm sio shabiki wa Yanga wala Simba. Kitendo cha klabu ya...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
2 Reactions
152 Replies
11K Views
Back
Top Bottom