Nadhani sasa tunaona umuhimu wa kuwa na ligi inayoendeshwa kwa viwango vya kisasa, professional FA inayoratibu kwa weledi mpira kwa manufaa ya nchi nzima na siyo timu mbili za Kariakoo, kuvutia...
Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba, tusikate tamaa tuendelee kuvimba kwa kupost zile post za kuonesha ubora wa timu ya Simba (ranking) ndani ya Africa.
Tuendelee kupost overall performance...
Inakuwaje wanangu?
I hope kila mmoja wenu yuko salama salmini.
Wikendi hii tumebarikiwa na bonge la event, ningependa sana kuyaskia maoni yenu kuhusu card hii.
Tripo9
1. Nilishangaa sana watu wakiichukulia poa timu ya Machief. Kinachoisumbua Simba kwa sasa ni ubora wa ligi ya South Africa. Ligi ya Tanzania bado ni changa na haina Qualities wala Woow factor.
2...
Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.
Wachezaji wamecheza chini ya kiwango. Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.
Shaffi Dauda anaishi na...
Habari wadau!
Kiukweli Simba wamevuna walichokipanda, siku zote kibri haifai katika maisha ya mwanadamu.
Hawa viongozi wa Simba wana midomo mirefu sana, alichowafanyia washabiki kwenye mechi yao...
Matokeo ya jana kati ya Namungo vs Yanga (sare ya bilabila) na Kaizer Chiefs vs Simba (4 - 0) ndo matokeo ya timu kutocheza mechi.
Kaizer Chiefs kacheza mechi mbili yaani tarehe 6/5 na 12/5 ndo...
2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia...
Mwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza...
Mwaka 1956...Yanga 0 Raja Casablanca 7
Mwaka 1960...Yanga 0 Orlando Pirates 10
Mwaka 1964...Yanga 0 Constatine 9
Mwaka 1969...Yanga 0 Al Ahly 12
Mwaka 1972...Yanga 0 TP Mazembe 12
Mwaka...
Hivi hakuna uwezekano makocha au benchi la ufundi pekee likawa linahusika kutoa taarifa za kiufundi kuhusu timu zao Kwani wao ndio wataalam wa hayo mambo.
Hawa wasemaji ni Tambo tu unakuta hata...
Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao.
Tunajua jana TFF waliwaangushia jumba bovu serikali, kotokana na conflict of interest zao, sababu...
Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '.
Mechi hii huwezi itambua ni ya...
Ni usiku wa manane...
Usiku wa utulivu,ambao dua hufika haraka sana.
Naitakia heri timu yangu ya simba ipate ushindi.
Eid hii haiwezi enda bure kwetu.
All the best mnyama...
Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs.
Naitakia Simba ushindi wa...
Habari.
Kukiwa yamebaki masaa machache kushuhudia mtanange wa Kaizer Chiefs Vs Simba Sc.
Kuna hawa wachezaji kwa pande zote mbili wamekuwa na viwango vizuri kwa kila kwenye timu...
Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....!
Source: Blog Ya SalehJembe.
Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika...
Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.