Manara: Umeonaje ila formula niliyokwambia, si unaiona imetiki, Instagram yote tunazungumziwa sisi tu.
Shafii: Daah! Ila kweli kabisa. Unajua ulivyoniambia tupige kiki kwa staili ile nilidhani...
MPIRA WA WANAWAKE NA RUSHWA
Hakika mpira wa wanawake una changamoto sana timu zinapewa rushwa ili iwakazie wapinzani na rushwa hizo ni za waziwazi nashangaa Tff wanafanya kazi gani Kama chombo...
Kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Simba sports club lakini uchambuzi wangu utazungumzia uzoefu mdogo nilionao kuhusu soka la Africa.
1. Kwa asilimia 100% nina uhakika Simba Sports Club...
Natazama mechi ya ligi kuu kati ya Gwambina vs Jk Tanzania. Kwakweli huu uwanja wa Gwambina Complex Pitch imechoka na ni dhahiri uwanja umekosa hadhi ya kutumiwa kwa michezo ya ligi kuu kwa sasa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu...
Kuna mchambuzi mmoja aliyejaribu kuleta presha na kutengeneza majungu akiamini kwa njia hiyo Simba itafanya lolote alitakalo.
Mchambuzi huyo aliyepachikwa jina la "taka taka" alihusika sana...
1. Sisi wana Simba tumefurahi kwa kuwa team inayoongoza kundi gumu na kupata matokeo mazuri kuliko team yoyote iliyovuka robo fainali.
2. Ukweli ni kuwa team tishio kwa Simba kutofika final ni Al...
Liverpool yapata ushindi wa bao nne kwa mbili (4-2) dhidi ya Manchester United apo Old Trafford Manchester. United walitangulia kupata goli mapema tu kutoka kwa kiungo mshambuliaji Bruno Fernández...
Hizi tabia za wachambuzi na watangazaji wa michezo vya asubuhi kwa Wasafi FM na E FM kuchanganya lugha za Kiswahili na Kiingereza linakera sana. Kwanza wengi wao hata Kiingereza hawujui...
Mpaka muda huu kina generalist\all rounder na chizi maarifa wangekuwa wameshatupia nyuzi za kuiponda Simba na kuitabiria kushindwa!
Lakini naona kimyaaaa! Hii ni dalili kuwa hatimaye utopolo...
RB leipzig, timu ambayo ipo na msimu mzuri kabisa (2020/2021) na ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi kuu nchini Ujerumani (BUNDESLIGA) imeambulia kipigo cha goli 4-1 kwenye fainali ya DFB...
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa.
Katika harakati hizo kuna baadhi ya...
Nimeona madai ya wachambuzi wengi wakishadidia kuwa yanga ina mgogoro na TFF. Binafsi nikijiuliza mgogoro huo ni upi,napata shida kidogo kuuelewa. Naomba mnisaidie.
Madai ya Yanga na mashabiki...
Sasa ni rasmi mpinzani wa Simba katika robo fainali ya CAF Champions League ni lazima awe mmoja kati ya timu hizi tatu; CR Belouizdad ya Algeria, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini au MC Alger ya...
Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa...
Soka la bongo ni moja katika ya vitu vyenye mvuto zaid hapa Tanzania. Mpira umekuwa ni trending kwasasa bongo na bongo kama wew sio simba basi ni yanga.yani kwakifupi huwez kuruka apo.
Kwa sasa...
Habari.
Huku tukiendelea kusubiri fainali ya UEFA Champions itakayofanyika May 29 mwaka huu kati ya Chelsea Vs Manchester City.
Kuna mabadiliko ya kiwanja cha mtanange huo itakuwa jiji Porto na...
Na muafaka wafikiwa, fainali ya bingwa wa ulaya (UEFA Champions League) itachezwa jijini PORTO uko Ureno mnamo tarehe 29 may 2021.
Jiji la ISTANBUL, Uturuki ndo mwanzo lilikua limepewa nafasi...
Leo nimeona nimstue kidogo wakili msomi Silas Isangi ambae ndie rais wa RT.
Kiukweli tangu achaguliwe kua rais wa RT tumekua na matumaini mapya juu ya Riadha ya Tanzania. Lakini cha kusikitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.