Viongozi wetu wakuu nchini ni wapenzi wa waziwazi wa simba na yanga. Mfano, Mheshimiwa Makamu wa Rais na waziri wa fedha ni shabiki lialia wa Yanga, Waziri Mkuu na Spika ni mashabiki lialia wa...
Habari.
Hadi sasa baada ya kutangazwa kuahirishwa kwa mechi kati ya Simba Sc Vs Young Africans.
Police wanatumia mabomu ya machozi kutawanya watu.
Kwa aliye na ndugu jamaa na rafiki hakika huku...
Sioni sababu ya mashabiki kulia lia.
Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo.
Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea...
Mlitaka kumfurahisha mama kwa kusogeza mechi mbele ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi pia kumpa mama nafasi ili aje uwanjani. Kiki hii iligonga mwamba.
Kiki ya pili mnataka kuwapa...
[emoji724]Mods msiunge uzi🛇
Kama tunavyojua ni muda wa wiki kadhaa sasa kumekuwa na vuguvugu la pambano la mpira wa miguu kati ya watani wa jadi Simba na Yanga almaarufu kama Kariakoo Derby...
Acha na stori za Yanga na serikali ya kiujanja-ujanja. Twende tumzungumzie mpinzani wa Simba Sc robo fainali.
Hii timu ina hali ngumu sana na kuna kila dalili za kucheza playoff ili ibaki ligi...
Ameandika hHaji Manara
Kabla ya jambo lolote lile kuendelea iundwe Kamati ya kibunge ijiridhishe kuhusu jambo liliotokea leo,ambalo limeacha maumivu makubwa Kwa Washabiki wa soka nchini zaidi...
Kufuatia sakata la jana, ni wazi Waziri wa Michezo aliyepo"ametuzingua sana".
Na hivyo kwakuwa katuzingua Watanzania ni sawa na kumzingua Rais, tunategemea muda wowote ataachia ngazi kuonyesha...
1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi )
2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki
3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo...
Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na...
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace karia amesema kuna taarifa itatolewa, hio ndio itaeleza Kila kitu juu ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga kusogezwa mbele hadi kuahirishwa, lakini kwa...
Wakuu Usiku Wa Kuamkia Leo Kulikuwa na Pambano La Kukata Na Shoka Kati Ya Mmexico Canelo Na Muingireza Billy Boy Saunders.
Canelo ameshinda baada ya Kona ya Billy Joe Saunders kusitisha kuendelea...
Mechi ya yanga na azam ilisogezwa mbele - ikatolewa sababu.
Mechi ya biashara na yanga ilisogezwa mbele - ikatolewa sababu.
Mechi ya simba na yanga imesogezwa mbele - haijatolewa sababu (...
Inawezekana kabisa Tanzania tunaviongozi wajinga ila kwa hili la kusogezwa muda mechi ya SIMBA vs YANGA itoshe kusema tunao viongozi Wajinga + Wapumbavu.
Barua inayosambaa mitandaoni ya kusogeza...
Haya ni mashaka yangu hasa baada umeme kukatika wakati timu zinajiandaa kuingia uwanjani kuanza kipindi cha kwanza kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park.
Hili si jambo la kulichukulia poa ...
Niwasilishe maskitiko yangu kwa kutochezwa kwa mchezo wa Simba na yanga 8. 5. 2021.
Naitazama yanga na naitazama TFF na nawatazama viongozi wa Yanga naiona hatari mbeleni. Najiuliza hawa...
TFF inaendesha Mambo yake kwa kuzingatia kanuni na sheria. Ni sawa.
Lakini ni mara nyingi sana TFF imekuwa ikifumbia macho makosa mengi ya ukiukwaji wa kanuni na sheria zake yanayofanywa na...
Wana Simba SC tuna cha Kujifunza kutoka kwa Wenzetu wa Yanga SC hasa kwa Kukataa 'Kupelekeshwa' kama 'Mazuzu' fulani hivi na ama TFF au Serikali.
Mwanaume wa Shoka na Unayejiamini (hata kama ni...
Kufuatia kadhia ya kufuta mechi ya simba vs yanga madhara yake ni makubwa.
Tumeua ari ya wanamichezo
Kuna mashabiki hawataenda tena viwanjani
Kuna mashabiki wameamua kuachana kabisa na habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.