Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni vema jambo hili likafanyika haraka ili mtuhumiwa huyu asikimbie , maana zipo tetesi kwamba Karia ni raia halali wa Somalia , amehujumu mechi hii kishamba sana na asipokamatwa nitashangaa sana ...
16 Reactions
54 Replies
4K Views
Mtakumbuka siku kadhaa zilizopita, mmoja wa wachambuzi maandazi na chawa wa GSM aliandika akiwashauri yanga wafanye kama walivyofanya man united ili kuepuka kipigo kutoka kwa Simba. Ninachokiona...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
TFF wameshanawa, sasa ni zamu ya Bodi ya Ligi kunawa ikifuatiwa na Wizara. Wenye akili tushajua maelekezo yalitoka toka ngazi za juu kabisa
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Simba mtoani Kaiser Chief nusu fainali Muingie fainali..! Ndio...! Historia itasema kuwa Yanga wali utilise loophole ya kubadili ratiba kukikimbia kikosi hatari cha Maangamizi cha Simba 8/5/2021...
0 Reactions
8 Replies
973 Views
Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii...
1 Reactions
4 Replies
820 Views
Kwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga. Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe...
15 Reactions
57 Replies
4K Views
Watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana Yanga mmmetusitiri Watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana. Sasa nataka kujua kama team yangu ya simba itachukua...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Mkazi mmoja wa mkoa wa kigoma jina kapuni ametangaza kukimbia kutoka kigoma Hadi Dar kwa miguu kuja kutazama mechi ya Simba na Yanga tarehe 8 June mwaka huu Huu ni muujiza anataka kutuaminisha...
1 Reactions
43 Replies
40K Views
Kila mtu anadai mechi ya Simba vs YANGA ya tarehe 8/5/2021 iliahirishwa.wajitokeze hadharani watujibu yafuatayo 1: Nani aliahirisha? 2: Kwanini iliahirishwa? My take: Mechi ya jana Yanga aligomea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siamini kama Rais Samia alikataza mechi hii kubwa isiendelee kisa ni uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mwinyi ulioandamana na birthday yake. Matukio yote yalijulikana mapema na yalipangwa mapema...
12 Reactions
55 Replies
4K Views
Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga. Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Kulingana na mtafaruku uliotokea leo baada ya sintofafaham iliyoletwa na bodi ya league haya ni maswali ambayo nimejiuliza nakosa majibu na nimeamua kuyaleta kwenu wadau wa Soka na hasa mashabiki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
HEMED KIVUYO Kilichotokea uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa Siku ya pambano la Simba na Yanga ingalikuwe Ni nimojawapo ya Nchi za Ulaya, muda huu kinachosambaa mitandaoni Ni barua za...
1 Reactions
5 Replies
902 Views
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi? Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili. 1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu Habari za saizi. Aibu ya jana mechi kuahirishwa aisee inaonesha viongozi wetu hawana weredi kwenye kuongoza mpira ndio maana miaka yote soka letu lipo pale pale tu. kwenye taarifa yao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kocha Mwinyi Zahera aliwahi kulalamika kipindi akiwa kocha akicheza dhidi ya JKT Tanzania Awali mechi ilikuwa ichezwe saa kumi na mbili jioni lakini Tff walibadilisha muda hivyo wakaharibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani leo alikuwa mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kitabu cha Maisha ya Rais Mstaafu Mzee Ally Hassani Mwinyi Viongozi Wakuu waliohudhuria ni Waziri Mkuu, Spika wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
WAKATI YANGA INAWAOMBA TFF WATUMIE BUSARA KUTOWAFUNGIA VIONGOZI WAO, WALIAMBIWA MPIRA UNAONGOZWA NA KANUNI WAFUATE KANUNI, LEO YANGA IMEFUATA KANUNI WANAAMBIWA WATUMIE BUSARA [emoji23][emoji23]
16 Reactions
26 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Piga kura hapo juu
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Back
Top Bottom