Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kesho nitamsimulia mwanangu umahiri wa Andres Iniesta wa kupiga pasi adhimu, Pasi tamu na ilikuwa ni faradhi kufurahi muda wowote ukimwona Iniesta na mpira. Utafurahi zaidi akiwa na Xavi pembeni...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Nikiwa na akili timamu bila kutumwa na mtu, nasema binafsi kuwa simba hana uwezo wa kupindua matokeo . Hata waroge, wachinje mbuzi, kuku, kunguru, ng'ombe na takataka zote hawana uwezo wa kufunga...
1 Reactions
12 Replies
863 Views
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka. Uteuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naam, tukutane hapa wale wapenzi wote wa Dubs #Dubnation na wazee wote wa kikapu Mambo ya #Hoops[emoji459] Tuijadili timu yetu hii yenye wachezaje wenye vipaji lukuki. Misimu miwili na nusu...
2 Reactions
9 Replies
920 Views
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs...
20 Reactions
625 Replies
83K Views
Kwa muda wa miaka miwili nimekuwa nikifuatilia post za watu wa Clouds kuhusu hicho wanachoita Ndondo Cup. Moja ya jambo linalotawala sana ni zile picha za waganga ama wao wanaita kamati za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Thadeo Lwanga 7. Jose Miquissone 8. Muzamiri Yasini 9. Chris Mugalu 10. Clatous Chama 11. Bernard...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari. Kocha mkuu wa Kaizer Chiefs mtaalamu Hunt aliyekuwa na kicheko cha dharau dakika ya 65 ya mchezo wa kwanza wa klabu bingwa Africa CAFCL, Hunt amethibitisha wachezaji wawili waliokuwa...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda. Dullah Mbabe...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanangu wa Mbeya hongera zenu kwa kuwa ma giants wa soka nchini just behind Dar Nitoe pongezi kwa Timu za Mbeya City, Ihefu fc, Tanzania Prisons, Mbeya Kwanza na Ken Gold zinaonyesha umwamba wa...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari...
12 Reactions
56 Replies
7K Views
Lile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu. Wengine: Lazarous Kambole randi...
12 Reactions
73 Replies
8K Views
1. Man City 83' 2. Manchester United 71' 3. Chelsea 67' 4. Liverpool 66' 5. Leicester City 66' 6. West Ham 62' [emoji117]Bado mechi 1 kwa kila timu! Fixture ipo hivi Leicester city Vs tottenham...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mchana wadau wa Soka. Napata pilau langu hapa nikiandika uzi huu. Kwanza kabisa, pongezi kwa Simba kwa kuweka wazi kiasi itakachopokea kwenye mauzo ya Jezi kutoka kwa Vunja Bei Group...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Time ya kaiza chiefs imepeleka malalamiko yao caf wakisema hawana imani na marefa kutoka burundi ambao watachezesha mechi dhidi ya Simba Binafsi Naona jmaa wameanza kugwaya mapema au wanawatikisa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Dk. Khumalo ameua kabisa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini amesema kwa vituko vile alivyoviona kutoka kwa Onyango anaaminiii Orlando Pirates wamebadilisha mawazo yao kumsajili...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu. Hivi kwa nini mkaguzi mkuu wa mahesabu ya Serekali (CAG) akagui mapato na matumizi ya vilabu vya soka hapa nchini hasa vile vyenye maslahi ya umma kama Simba, Yanga...
1 Reactions
2 Replies
593 Views
Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha. Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu. Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote...
0 Reactions
8 Replies
880 Views
Back
Top Bottom