Habari wanamichezo waJF,
Katika halin ya kawaida katika mchezo wa soka, mwanasoka mmoja anaweza kuhama kutoka Club moja kwenda nyingine. Lakini mchezaji mzuri kukaa muda mrefu kwenye Club huleta...
Kampuni ya Premier Betting yakubali kujenga viwanja vya Kikapu nchini Tanzania.
Makubaliano hayo yalifikiwa katika kikao kilichowasisha Ndg. Sami Matar Mkurugenzi wa kampuni ya Premier Betting ...
Nimeona video clip ya msemaji wa Azam akilalamikia ushauri wa Simba kwa Azam kwamba washinde mechi yao dhidi ya Yanga.
Jambo hilo halikumfurahisha kiasi kwamba amefikia kuhoji kwamba Simba...
Wakuu,habari ndiyo hiyo,Leo Kuna mpambano wa kukata na shoka Kati ya RONALDO kutoka DAR dhidi ya NOEL kutoka NJOMBE..
Mtanange huu utakuwa wa mechi 24 ambazo zitapigwa ndani ya ukumbi wa michezo...
Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu...
Mpaka leo Ligi ipo ukingoni halafu timu moja ina michezo 28 na nyingine 24, hivi kweli bado tuna Wataalam wakupanga ratiba ya Ligi?
Hebu fikria,...Kuna team hazijakutana tangu ligi ianze...
Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa...
Nimesikia Waziri wa viwanda na biashara Profesa Kitila Mkumbo leo amewaita Tume ya ushindani (FCC), timu ya Simba na wawekezaji ili kuwasuluhisha kwa kile alichoita migogoro na mkwamo wa uwekezaji...
Habari Wana Jamii, Habari Wana Soka.
Leo ni "Afe Kipa, Afe Beki - Bukta Chanika, Boxa Vuuka - Lazima Kieleweke" limeanza amsha amsha na kuwekwa wazi kwa team vichwa ngumu barani ulaya, zilizoamua...
Huyu Shabiki maarufu wa Simba SC anayeitwa sembo yupo wapi. Ni muda sasa hajaonekana tangu December 2020. Nimemkumbuka sana kwa jinsi anavyojua kuipamba Simba SC. Au kabadili ID yake humu. Popote...
NAGELSMANN KURITHI MIKOBA YA FLICK
Taarifa ambazo zimeripotiwa na vyombo mbalimbali vya Habari toka Nchini Ujerumani na hata Ulaya kwa Ujumla ni kuwa klabu ya Bayern Munich inamtazamia Kocha wa...
Labda niwaambieni tu Uongozi wa Simba SC kuwa Rais mpya wa CAF Bwana Patrice Motsepe haungwi (hakuungwa) Mkono na Rais wa TFF Bwana Wallace Karia ambaye inajulikana alikuwa ni Mtu wa aliyekuwa...
Habari,
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.
Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa...
Kuna viashiria vingi kuondoka kwa Senzo Simba haikuwa bahati mbaya bali mpango mahususi wa kuiangamiza Yanga maana huyu bwana tangu ujio wake ni draw na aibu za wagosi.
Hii tabia ya utani wa jadi...
Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani...
Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika...
Wiki iliyopita siku ya mapumziko nilikwenda kwenye Kiwanja kimoja kutazama Vijana wakicheza Mpira wa miguu kwenye mashindano ya kugombania Kombe la Mbuzi!
Nikagundua kuwa Tanzania tuna vipaji...
Michael Sarpong
Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi...
Usman ameweza kutetea taji lake la welterweight kwa mara ya pili ambapo hapo awali mwezi July 2020 alimtwanga Masdival kwa points.
Masdival amesema inamuuma kuchapwa kipigo cha KO mpaka kupoteza...
TIMU ZILIZOSHINDA MICHEZO MINGI KWENYE VPL MSIMU HUU.
1.Simba SC
[emoji736]Michezo 17
2.Young Africans
[emoji736]Michezo 16
3.Azam FC
[emoji736]Michezo 14
4.Biashara United/ KMC
[emoji736]...