Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa...
9 Reactions
40 Replies
11K Views
Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu...
16 Reactions
37 Replies
12K Views
Kitendo cha Tshabalala kuongeza mkataba wa kuitumikia Simba SC bila kumshirikisha meneja wake, Henry Mzozo, hakuna namna nyingine ya kukielezea zaidi ya kusema ni udhalilishaji wa hali ya juu wa...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Kama mtakumbuka, mwaka 2019 nilienda Ulaya nchini Ujerumani katika viwanja vya Bayern Munich (Alianz Arena) na ule wa Dortmund (Signal Iduna Park) kujifunza namna ya kuboresha viwanja vya soka...
21 Reactions
33 Replies
4K Views
Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
1 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Tonombe Mukoko 2. Feisal Salum 3. Michael Sarpong Kwa Mtu wa Mpira na aliyeifuatilia Yanga SC 95% ya Ushindi wake ( hasa katika Mechi zake ngumu na za Kimaamuzi ) ni kutoka kwa Wachezaji hawa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nyuma ya mafanikio ya Chelsea chini ya Bilionea wa Kirusi Roman Abromovic yupo mwanamke wa shoka na jasiri Marina Granovoskaia,Aliajiriwa katika kampuni ya mafuta ya Mrusi Roman Abromovic ya...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni Kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na hiyo ilikuwa 1984
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mbeya City, Mbeya Kwanza Dodoma Jiji na kadhalika inanifanya nifikirie kuanzishwa timu ya Mzizima City au Mzizima United.
1 Reactions
1 Replies
697 Views
Ona jinsi alivyomuattack barba. Huja jamaa ndo wale madalali njaa " Endelea hapa "Kuna shida kwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba pengine labda ninyi hamjaigundua, Mtendaji Mkuu na karibia...
1 Reactions
83 Replies
8K Views
Hapa sasa utaona tofauti ya meneja mwenye akili na meneja muhuni ,yaani zimbwe ilitakiwa makelele yote yale hadi kutafuta back up ya shaffih dauda kuitukana simba ili mchezaji wako apewe mkataba...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limesitisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa soko mkoani Kilimanjaro huku usitishwaji huo ukiacha maswali mengi kuliko majibu Kwanza wamesitisha mchakato huo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022. Shirikisho la Soka Uganda (FUFA)...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na maelezo ya wahuni fulani katika soka hasa wakizungumzia mikataba ya wachezaji wa Simba,ninaona dalili zifuatazo katika mechi ya watani wa jadi ya tarehe 8 may. 1. Kama walivyozoea...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Uendeshaji wa Soka hapa kwetu ni wa kupigiwa mfano. Sasa hivi Ligi inaelekea ukingoni lakini mpaka sasa Simba na Namungo hawajacheza hata mechi moja baina yao. Toka Ligi Ianze Mo Fc (Simba)...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Mshika kibendera msaidi wa mechi ya Simba na Gwambina amefungiwa mizunguko mitatu baada ya kuboronga mechi ya Simba na Gwambina. Kwa adhabu hii inaonyesha TFF na bodi ya ligi hawapo serious kwani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom