Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
"yanga hii haina tofauti na yanga ile ya bila senzo. Viongozi tukikaa nao wanalalamika kuwa jamaa hana mchango,msaada wowote na hata walimwajiri ni kama wanashindwa wafanye nini naye. anapenda...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Ushauri wangu wa bure tu Kwenu Watani zangu Yanga SC kama itawapendeza ili angalau Kupunguza idadi ya Magoli ya Kufungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 yawe 3 kwa 0 (ambayo ndiyo nayaona...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwasasa huyu ndio beki bora wa kati sio kwa ulaya bali duniani kwa mtazamo wangu. Beki mwenye matumizi makubwa sana ya akili, anajua kujipanga kwenye nafasi kwa muda sahihi, anafanya sana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Muda mchache uliopita, wapinzani wa Simba katika robo fainali ya Caf Champions League, Kaizer Chiefs wamefungwa goli 2-1 na Tshakhuma Fc inayofundishwa Dyran Kerr aliyewahi kuifundisha Simba miaka...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Leo ndio ile mechi pendwa imewadia, PSG vs Man City saa 4 usiku. Kwa nyota, siku na tarehe ya leo vinaibeba sana PSG. Hivyo PSG leo ataibuka na ushindi tena sio haba na kuwashangaza wengi...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Hii ni kwa sababu ya mwenendo mbaya wa timu yake kwenye ligi ya mabingwa, Al Ahly hivi sasa haina tofauti na Mbeya City, ule uwezo wake wa kutandaza soka umepeperuka utadhani njiwa wa uganga. Kwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Tanzania Prisons. Nawapa tahadhali.yanga inashinda bao si chini ya Mbili ama sivyo mbadilishe keeper na mabeki wale wawili. Wafungaji wa yanga wamepangwa wawe Molinga na mmoja ya wale wawili...
2 Reactions
31 Replies
40K Views
Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo. Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza...
14 Reactions
58 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, amesema kumekuwepo na tabia ya Viongozi wa timu mbalimbali Nchini kutoa kauli za kwamba walihongwa hususan wanapofungwa na Yanga...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
" Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanzoni kabisa mwa 2000, Pep Guardiola na rafiki yake wa karibu Gabriel Batistuta walikuwa wanapiga stori kwenye viwanja vya mazoezi vya AS Roma baada ya mazoezi mazito, wakizijadili ndoto zao...
10 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ndio under 17 ya timu ya Yanga. Una maoni gani kuhusu kikosi hiki?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana wakati nimekaa tayari kutaka kuangalia mechi ndio yakatokea yale ya washabiki lakini mimi sitaki kuongelea lile tukio maana tumeliona sote macho yangu yalikuwa kwa Police. Kwa kweli wenzetu...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau Siyo maneno yangu ila nimewanukuu wapenzi wa Simba muda mfupi ulipita kupitia Luninga. WanaSimba Wanasema. Kwamba Mei 8 watakutana na Yanga kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mechi na...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Timu ya Prisons inacheza na kutafuta matokeo kwa kuhatarisha afya na maisha ya wachezaji wa timu nyingine viwanjani. Hali inakuwa mbaya sana inapocheza na timu kubwa za Simba, Yanga na Azam...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Ikiwa Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni sio vibaya kuchambua AU Kutabiri ni wachezaji gani wanafaa kuunda KIKOSI BORA CHA MSIMU (VPL). Kuna wachezaji mbalimbali wamefanya vizuri na...
0 Reactions
21 Replies
38K Views
Kuelekea mchezo wa watani wajadi tarehe 8/5/2021 Na kwakuwa tuna mchezo mwingine muhimu zaidi na timu ya Kaizer chiefs kule Afrika kusini Na kwakuwa timu ya Yanga imekuwa na kawaida ya kucheza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati akihojiwa na Mtangazaji wa Efm Radio, Bwana Wallace Karia amesema ni wazi kwamba mwaka huu atagombea tena nafasi ya Urais wa TFF. Amesema atafanya hivyo ili atekeleze mambo aliyoongeza...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom